Acha kukariri its clear timu za EPL hazijafanya vizuri michuano ya ulaya kwa miaka mingi lakini kuna improvement kubwa msimu huu na kama timu zisipofukuza makocha timu za EPL zitarudi ku-dominate tena.Spurs amewafunga Madrid,Dortmund na kufanikiwa kuongoza kundi Chelsea amemfunga Atletico nyumbaniMark my word, timu yoyote ya epl(kuitoa city) ikipangiwa timu ya laliga ndio mwisho wao.even liverpool pamoja na kutoa sare na sevila game zote kwenye makundi na spurs kuifunga RM sio kipimo cha kutosha kuiweka epl juu ya la liga.
Pamoja na viwango vya Barcelona, Rm na Sevilla kushuka bado timu hizi ni nzuri kuliko Liverpool, Spurs,United na Chelsea. Hata wahuni Besiktas ni wazuri kuliko united na liverpool.
Psg, BayernMunich, Juventus Barca City na RM ndio wenye nafasi ya kunyanyua kwapa.
Haya magazet ya dairly star au the sun yaan ni swasawa na magazet ya udaku TANZANIA wanapenda sana umbea na kuchokonoa habar zisizo na maan nasema hvyo caz hata journalist wa liva mwenyew mara hawalipotig habar zinazosemwa na dairly star au the sun cha msng tusubil january tuone nn kitatokea sababu usingangae kesho wakaandika manyumbu wanamtaka salah yaan ilimrad kuharibiana tuuTetesi
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp anasema kuwa hana uhakika ikiwa mchezaji wa kiungo cha kati Philippe Coutinho bado atakuwa Anfield baada ya mwezi Januari. Barcelona ilitoa ofa mara tatu kwa raia huyo wa Brazil msimu huu. (Daily Star)
hata kama mchezaj wako hana perfomance nzur on the pitch haupaswi kutamka maneno kama co mchezaj wako lakn stupid hendo mm naona haijeng wala nn yule n mchezaj wetu hatuna bud kukubalian na yote,ww mwenyew wafaham hendo kipnd yupo sunderland alikuwa anacheza position ip na liverpool anacheza position gan so we have to respect henderson as our team captain no way out lakn maneno machafu not fairUsiku Wa Leo Nitaangalia Mpira Kwa Amani Baada Ya Kumuona Stupid Hendo Yupo Bench..... Well done Klopp
Remember its our team captain so don't call hendo fool even if he is nothing on the pitch,still he z our player treat him like other playersI'm happy that this fool - Hendo is warming the bench tonight
Sawa mkuu, ushatuita sisi ni wavutaji tukiwa na maoni tofauti na wewe. Nilichoona kwako ni mahaba yako kwa epl na aina ya matango pori unayolishwa na media za uk.Haya Ndiyo Madhara Ya Kupenda Mpira Kuanzia 2009 baada Ya Kusikia Kuna Mchawi Wa Soka Anaitwa Messi..
Sikushangai Ni Utoto tu Huo! Ukikua Utaacha.
hata kama mchezaj wako hana perfomance nzur on the pitch haupaswi kutamka maneno kama co mchezaj wako lakn stupid hendo mm naona haijeng wala nn yule n mchezaj wetu hatuna bud kukubalian na yote,ww mwenyew wafaham hendo kipnd yupo sunderland alikuwa anacheza position ip na liverpool anacheza position gan so we have to respect henderson as our team captain no way out lakn maneno machafu not fair
Acha kukariri its clear timu za EPL hazijafanya vizuri michuano ya ulaya kwa miaka mingi lakini kuna improvement kubwa msimu huu na kama timu zisipofukuza makocha timu za EPL zitarudi ku-dominate tena.Spurs amewafunga Madrid,Dortmund na kufanikiwa kuongoza kundi Chelsea amemfunga Atletico nyumbani
Last time Liverpool wamefika hii hatua ilikuwa 2009,Last time United wameongoza kundi wakiwa na point 15 ilikuwa 2008.Ngoja tusubiri but domination ya timu za EPL ndio inaanza
mkuu na sisi kwetu chelsea tunae cahili ndo captain asiyependwa kuliko wote nadhani, na sisi tunalia na antonio conte kutupangia weak captain na ndo weak link.Niombe Radhi Kwa Kitendo Chake Cha Kunishauri Mtu Ninaemchukia Zaidi Katika Historia Yangu Ya Kupenda Liverpool Kuwa Nimkubali kuwa Ni Captain Wa Liverpool...
When Jürgen Klopp removes him from his captain role! I will be hapy even If I die I'll die in peace...
Na kwa taarf yko derby ya jpl klopp aneconfirm ataanza,hii inamaan gan inamaanish hatuna bud kukubalian na kilichopoNiombe Radhi Kwa Kitendo Chako Cha Kunishauri Mtu Ninaemchukia Zaidi Katika Historia Yangu Ya Kupenda Liverpool Kuwa Nimkubali kuwa Ni Captain Wa Liverpool...
When Jürgen Klopp removes him from his captain role! I will be hapy even If I die I'll die in peace...
YnwaView attachment 646023
"I don't mind too much who we get. Usually I always get Real Madrid so we will see," Klopp joked to BT Sport.
...mara kaunawa, mara kashika mtu !mkuu na sisi kwetu chelsea tunae cahili ndo captain asiyependwa kuliko wote nadhani, na sisi tunalia na antonio conte kutupangia weak captain na ndo weak link.
cahili akianza 1st11 ni pressure mda wote mara ajifunge mara aanguke kwa kuteleza hana pace.
Uliandika hii ukiwa sober?Mark my word, timu yoyote ya epl(kuitoa city) ikipangiwa timu ya laliga ndio mwisho wao.even liverpool pamoja na kutoa sare na sevila game zote kwenye makundi na spurs kuifunga RM sio kipimo cha kutosha kuiweka epl juu ya la liga.
Pamoja na viwango vya Barcelona, Rm na Sevilla kushuka bado timu hizi ni nzuri kuliko Liverpool, Spurs,United na Chelsea. Hata wahuni Besiktas ni wazuri kuliko united na liverpool.
Psg, BayernMunich, Juventus Barca City na RM ndio wenye nafasi ya kunyanyua kwapa.
aisee kop nimekuelew comments zako zote n kwa hendo yaan ungekuwa ww ndo coach ungeshamuuza mda mtuuView attachment 646363
Katika Mchezo Yetu 9 iliyopita:
[emoji736] 3-0 Huddersfield
[emoji736] 3-0 Maribor
[emoji736] 1-4 West Ham
[emoji736] 3-0 Southampton
[emoji810] 3-3 Sevilla
[emoji810] 1-1 Chelsea
[emoji736] 0-3 Stoke City
[emoji736] 1-5 Brighton
[emoji736] 7-0 Spartak Moscow
Tumeshinda 7, Tumetoka Sare 2.....
Hayo Ndiyo Tunayoyataka Mashabiki Wa Liverpool Na Ndiyo Tulichokuwa Tukikisubiri Kutoka Kwa Klopp...
Awali Tulilamlalamikia Sana na Kumlaumu Kutokana na Matokeo Mabaya Ya Timu yaliyokuwa Yakisababishwa Na Mabeki Wetu na Kiungo Mkabaji....
Kwa sasa Timu imerudisha Consistency So, Hakuna Sababu Ya Kumlaumu au Kumkosoa Klopp Kwa Sababu Mtu Analaumiwa au Kukosolewa Kwa Uzembe na Si Kwa Ufanisi Mzuri...
Klopp Sasahivi Tunakupongeza Mitandaoni lakini usije Ukalewa Sifa...
Na Hakuna Jinsi itabidi Summer Kama Coutinho atang'ang'ania Kaondoka itabidi Amruhusu tu.....
Na ajaribu Kumshawishi Can asaini Mkataba Mpya ili asiondoke...
Yaliyobaki Kwa Klopp Ni Marekebisho Ya Kutafuta Centre Bach Mmoja na Striker Mmoja tu..
Hapo Tusubiri raha tu tena....
Hongera Klopp Kwa Kufanya Vizuri...
Kila la Heri Hendo Kwa Safari inayokusubiri ya Kurudi Sunderland.....
Sisi boraTimu Za Kiingereza Zilizowahi Kufunga Magoli Mengi Zaidi Champions League Katika Hata Ya Makundi:
[emoji460]️ 23: Liverpool 2017/18
[emoji460]️ 20: Man Utd 1998/99
Tumevunja Rekodi.....!