Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unataka kusema milner nafac ya first eleven hakuna??ipo sema tu huyu captain uchwara hendo ilibid akae sub babu milner aanze

Mkuu na hapo akija na Keita tu! Basi Nafasi Ya Milner ya Hata Sab ndiyo itapotea kabisa! Coz tutakuwa na KEITA, COUTINHO, GINI, LALLANA, AOC, HENDO na CAN pia ni 50/50 kuwepo... Sasa Mbele ya Hao Tokea Sasa unaona wazi kuwa Milner Hana nafasi Kwao...
 
upload_2017-12-4_16-7-27.png

kazi ya kuziba pengo la points 14 ili tuwe champions is an insurmountable kwa kasi aliyo nayo Man City sasa.
we (LFC) are champions - lakini Klopp's arrogance (pamoja na ubora alio nao) inatuchelewesha kufikia huko.

lazima ajue wenye timu tupo hai and we will fight anyone who tries to drag us back!

baada ya kuona wengi wetu tunataka kumgeuka walau sasa ameanza hata kuzinduka na kuanza ku-implement tactical flexibilities kwenye mfumo wa uchezaji, which is good.

tuendelee kumtia Klopp jamba-jamba hivi hivi hadi atambue kuwa LFC si timu ya kuwania top 4 pekee bali silverware.
the day tukivuta ndoo walau moja hata ndogo zile cup competitions, nitalegeza mapigo yangu kidogo kwa Klopp.
na nitaacha kabisa mapigo dhidi yake na kuanza kum-adore kama legends wengine akibeba EPL au UCL!

huu ushindi wa mfululizo unaondelea sasa dhidi ya lowly opponents kama West Ham, BHA, etc....this cannot paper over the glaring cracks that we have in our team.

a pathetic defence and a shiite holding midfield - these are the real cracks - na hapa ndipo tuendelee kumshikiniza Klopp usiku na mchana lazima afanye strengthening, siyo kuanza kutongozana na akina Aubameyang kama nilivyosikia kwenye grapevine!
 
View attachment 643804

Wale walioridhika na Top 4 sasahivi Wanaona Wazi Faida ya Pressure Yetu Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kwani Klopp Aliumiza Kichwa na Kuamua Kupunguza Sehemu ya Kiburi Chake..

This season is over...
But Next season we must be a title Contender and not Top 4 contender.....

We have no any interest with Top 4 without any Trophy....

So Klopp akiweza Kurekebisha Defensive Midfielder na Centre Back Basi Tutaweza Kuwa na Team Ya Kushindania Makombe...
Lakini Akibaki Hivihivi na Hendo wake Pamoja na Lovren Basi Tutaishia Kugombania Top 4.
 
Tokea Ahamie Liverpool Mwaka 2015, Roberto Firmino Amegunga Magoli 26 tu Kwa Mashindano Yote..
Wakati Mo Salah Hata Nusu Msimu Haujafika Ameshafunga Magoli 17 na Wala Sio Striker.

Hii siyo rekodi Nzuri Kwa Mchezaji Anaechezeshwa Position Ya Striker... Hayo Ni Magoli Striker abahitajika Kufunga Kwa Msimu Mmoja tu tena Kwa Ligi Moja tu ya EPL...

Honestly we need a True Number 9 who will Score 25+ goals a season in EPL only...

Upo umujimu Wa Klopp Kusajili Striker ambaye ana uwezo Wa Kugunga Goli hapo 25+ kwa Msimu Mmoja Wa EPL ili tutishe Barani Ulaya.
 
Michezo Yetu 5 inayofuata:

Spartak Moscow (H)
Everton (H)
West Brom (H)
Bournemouth (A)
Arsenal (A)

Hapo 4 tunalazimika Kushinda na at least tudraw na Arsenal.

IMG_20170901_174317_837.jpg
 
Ratiba ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la Fa, imetangazwa usiku huu na michezo hiyo itachezwa wikiendi ya januari 6 na 7 mwaka 2018

Majogoo Liverpool wataanza michuano hiyo kwa kuchuana na wapinzani wao wa jadi Everton,huku bingwa mtetezi Arsenal akianzia ugenini kwa kucheza na Nottingham Forest.

Matajiri wa Manchester City wataanzia nyumbani katika dimba la Etihad,kwa kucheza na Burnley nao Manchester United wakiwalika Derby County.

Vijana wa Antonio Conte, Chelsea wataanzia ugenini kwa kucheza na Norwich, Tottenham Hotspur watakua wenyeji wa AFC Wimbledon
 
Ratiba ya michezo mingine ya raundi ya tatu ya kombe la Fa.

Birmingham City v Burton Albion

Brighton & Hove Albion v Crystal Palace

Coventry City v Stoke City

Bolton Wanderers v Huddersfield Town

Queens Park Rangers v MK Dons

Middlesbrough v Sunderland

Fleetwood or Hereford v Leicester City

Blackburn Rovers or Crewe Alexandra v Hull City

Cardiff City v Mansfield Town

Shrewsbury Town v West Ham United

Wolverhampton Wanderers v Swansea City

Newcastle United v Luton Town

Fulham v Southampton
 
Ratiba ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la Fa, imetangazwa usiku huu na michezo hiyo itachezwa wikiendi ya januari 6 na 7 mwaka 2018

Majogoo Liverpool wataanza michuano hiyo kwa kuchuana na wapinzani wao wa jadi Everton,huku bingwa mtetezi Arsenal akianzia ugenini kwa kucheza na Nottingham Forest.

Matajiri wa Manchester City wataanzia nyumbani katika dimba la Etihad,kwa kucheza na Burnley nao Manchester United wakiwalika Derby County.

Vijana wa Antonio Conte, Chelsea wataanzia ugenini kwa kucheza na Norwich, Tottenham Hotspur watakua wenyeji wa AFC Wimbledon

Micky Mouse Cup
 
Tokea Ahamie Liverpool Mwaka 2015, Roberto Firmino Amegunga Magoli 26 tu Kwa Mashindano Yote..
Wakati Mo Salah Hata Nusu Msimu Haujafika Ameshafunga Magoli 17 na Wala Sio Striker.

Hii siyo rekodi Nzuri Kwa Mchezaji Anaechezeshwa Position Ya Striker... Hayo Ni Magoli Striker abahitajika Kufunga Kwa Msimu Mmoja tu tena Kwa Ligi Moja tu ya EPL...

Honestly we need a True Number 9 who will Score 25+ goals a season in EPL only...

Upo umujimu Wa Klopp Kusajili Striker ambaye ana uwezo Wa Kugunga Goli hapo 25+ kwa Msimu Mmoja Wa EPL ili tutishe Barani Ulaya.
exactly thats y we need AUBAMAYANG i hope somehow will help us
 
Milango ipo wazi Kwa Leon Goretzka na Tayari ameshaingizwa Sokoni Kwani Mwisho Wa Simu Mkataba Wake Unaisha na Schalk 04 hawataki Kumpoteza bure bila ya Hela Yoyote kwahiyo Wameamua January Wamuuze...

Lakini Wao Schalk Wamempa £150,000/= ili asaini Mkataba Mpya lakini Kakataa! Je Liverpool Watakuwa Tayari Kutoa Hela Hiyo Kwa Average Player Kama Yeye?
I don't think so...
 
Malcom to Liverpool?

Liverpool were linked with a move for Malcom earlier this year, with the Bordeaux man saying back in February he was only thinking of his current club. With Philippe Coutinho still subject interest from Barcelona, the 20-year-old could be the perfect replacement for his Brazilian compatriot should Liverpool's No. 10 leave in January. Malcom has been in impressive form this season too, with seven goals and four assists in 15 Ligue 1 starts.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom