Waambie waache upuuzi salah hauzwi,Tetesi
Kocha wa Misri Hector Cuper anadai kuwa Real Madrid wanammezea mate mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 25. (ON Sport TV - Egypt, via Evening Standard)
Kama wanamtaka Salah watupe Marco Asensio na pauni milioni 100
Tetesi
Kocha wa Misri Hector Cuper anadai kuwa Real Madrid wanammezea mate mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 25. (ON Sport TV - Egypt, via Evening Standard)
TO BE HONEST: Even with a win I maintain that there is no place for Henderson in the team.
He doesn't have what it takes to be a captain nor is he a good play maker.
Ni kweli jamaa hastahili kabisa kuwa captain.Na sijui Rodgers aliona nini kwake. Lakini nikiangalia kwa kikosi chetu cha sasa hivi sioni mwenye qualities za kuwa captainHendo hastahili kuwa captain
Ni kweli jamaa hastahili kabisa kuwa captain.Na sijui Rodgers aliona nini kwake. Lakini nikiangalia kwa kikosi chetu cha sasa hivi sioni mwenye qualities za kuwa captain
I do agree with u kop,TO BE HONEST: Even with a win I maintain that there is no place for Henderson in the team.
He doesn't have what it takes to be a captain nor is he a good play maker.
Milner na MatipNi kweli jamaa hastahili kabisa kuwa captain.Na sijui Rodgers aliona nini kwake. Lakini nikiangalia kwa kikosi chetu cha sasa hivi sioni mwenye qualities za kuwa captain
Ni kweli jamaa hastahili kabisa kuwa captain.Na sijui Rodgers aliona nini kwake. Lakini nikiangalia kwa kikosi chetu cha sasa hivi sioni mwenye qualities za kuwa captain
Ni kweli jamaa hastahili kabisa kuwa captain.Na sijui Rodgers aliona nini kwake. Lakini nikiangalia kwa kikosi chetu cha sasa hivi sioni mwenye qualities za kuwa captain
Mkuu kuwa captain sio uwezo wa uwanjani tu, ni pia uwezo wa kuongoza wenzako kati. Hivyo vitu vyote hendo hana, je kati ya uliowataja unaona kuna mwenye uwezo wa kuongoza wenzie?Bora hata apewe :
Mane
Milner
Sturridge kama angekuwa anapata namba
Coutinhno
Can
Unamwachaj milner kwa mfanoMkuu kuwa captain sio uwezo wa uwanjani tu, ni pia uwezo wa kuongoza wenzako kati. Hivyo vitu vyote hendo hana, je kati ya uliowataja unaona kuna mwenye uwezo wa kuongoza wenzie?
Milner anaweza kuwaongoza wenzie lakini sioni nafasi ya ni milner katika kikosi cha kwanza. Keita, Lallana, Coutinho, Wijnaldum wote wako mbele yake. Hapo bado hujawataja akina chamberlain na huyo hendoUnamwachaj milner kwa mfano
Unataka kusema milner nafac ya first eleven hakuna??ipo sema tu huyu captain uchwara hendo ilibid akae sub babu milner aanzeMilner anaweza kuwaongoza wenzie lakini sioni nafasi ya ni milner katika kikosi cha kwanza. Keita, Lallana, Coutinho, Wijnaldum wote wako mbele yake. Hapo bado hujawataja akina chamberlain na huyo hendo
Bora hata apewe :
Mane
Milner
Sturridge kama angekuwa anapata namba
Coutinhno
Can
kura yangu so far ni kwa Gomez...the boy s a quick learner...ndio usajili wa pesa ndogo wa Rodgers ambao ni value for talent kabisaKwavile Liverpool ina utamaduni Wa Kuwapa uCaptain WaBritish! Huenda Our Future Captain akawa Gomez, Trent au Woodburn yeyote kati ya hawa Ambaye atamaintain nafasi katika Kikosi Cha Kwanza..... Percentage Kubwa Zaidi ipo Kwa Gomez.
Wote wakiwa fit, milner atacheza wapi?Unataka kusema milner nafac ya first eleven hakuna??ipo sema tu huyu captain uchwara hendo ilibid akae sub babu milner aanze