Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Another 3 points today!!
Klopp knows about football more than anyone here!
It is very laughable to act like you will teach Klopp how to manage the Greatest Club of Liverpool
Leo namshusha Arsenal na nakuwa wa 4 namfukuzia Chelsea hadi Dec hii nae namshusha
job done n well done...its seems this rotating is working so far
 
Nani bado ana wasi wasi na huyu maestro JK?
Ningekuwa na uwezo JK angesaini mkataba wa maisha Liverpool

Mkuu elewa Kuwa Zile Kelele zetu Tulizokuwa Tukizipiga Mitandaoni ambazo ulikuwa Ukizipinga Ndiyo Zinazomfanya Aanze Kubadili Mbinu Za Kiufundi Japo Kwa Wachezaji Hawahawa.....

Usifikirie Kuwa Malalamiko Yetu Kama Washabiki Alikuwa Hayafatilii Kwenye Media.....

Tulikuwa Tukilalamika Kwenye twitter ya Skysports, BBC, Liverpool FC n.k. Hatimae Waandishi Kwenye Press Conference wanamfikishia....
Na Wachambuzi wa Soka Wanamfikishia....
So, Jamaa Pressure ya Media inamfanya Aanze Kubadilika Kimbinu na sasa unaona matokeo Yake.....

So, Kilichobakia sasa ni Kubadili Kikosi tu Next season Tugombanie Ubingwa Rasmi.

Kwahiyo Naanza Kupunguza Wasiwasi Kwa Klopp kidogo kidogo.....

Hivi Ndiyo Tunavyotaka Washabiki Wa Liverpool na si Vyenginevyo....

Hongera Liverpool...
 
Brighton leo wamepigwa mwendo kasi...its a lovely weekend guys...next ni game ya Uefa ....Champions league last 16 here we come
 
Mkuu elewa Kuwa Zile Kelele zetu Tulizokuwa Tukizipiga Mitandaoni ambazo ulikuwa Ukizipinga Ndiyo Zinazomfanya Aanze Kubadili Mbinu Za Kiufundi Japo Kwa Wachezaji Hawahawa.....

Usifikirie Kuwa Malalamiko Yetu Kama Washabiki Alikuwa Hayafatilii Kwenye Media.....

Tulikuwa Tukilalamika Kwenye twitter ya Skysports, BBC, Liverpool FC n.k. Hatimae Waandishi Kwenye Press Conference wanamfikishia....
Na Wachambuzi was Soka Wanamfikishia....
So, Jamaa Pressure ya Media inamfanya Aanze Kubadilika Kimbinu na sasa unaona matokeo Yake.....

So, Kilichobakia sasa ni Kubadili Kikosi tu Next season Tugombanie Ubingwa Rasmi.

Kwahiyo Naanza Kupunguza Wasiwasi Kwa Klopp kidogo kidogo.....

Hivi Ndiyo Tunavyotaka Washabiki Wa Liverpool na sisi Vyenginevyo....

Hongera Liverpool...
Umeongea kwa IMANI sana baada ya mechi ya leo,tuendelee kuwapa support players wetu nimeona determination ya Phili keo ilikuwa kubwa sana
 
Brighton leo wamepigwa mwendo kasi...its a lovely weekend guys...next ni game ya Uefa ....Champions league last 16 here we come

UEFA kijana Mane with fresh legs
Usiwe na wasi wasi mkuu Anfield itakuwa nyekundu yote!
Mpe mshahara huo Emre Can abaki kikosini,mlete kipa wa ukweli,VVD na Keita
Liverpool ya Billy Shanky inarudi
 
UEFA kijana Mane with fresh legs
Usiwe na wasi wasi mkuu Anfield itakuwa nyekundu yote!
Mpe mshahara huo Emre Can abaki kikosini,mlete kipa wa ukweli,VVD na Keita
Liverpool ya Billy Shanky inarudi

Mshahara anaoutaka Can ni Mkubwa ukilinganisha na Kiwango Chake! hata Mimi siungi Mkono Kupewa...

Anataka £150,000 + Release Clause ya Rahisi kabisa.... Nani atafanya Biashara hiyo??

Mshahara Huo ni wa World-Class Kama Cautinho na sio yeye ambaye ni average..

Na kama ni Release Clause basi isipungue £120m ndiyo soko la sasa lilivyo.
 
Roberto Firmino alifunga mara mbili Liverpool wakirindima kwa ushindi mnono wa 5-1 dhidi ya Brighton katika uwanja wa Amex Stadium.
Mbrazili huyo alifunga goli la kwanza sekunde 79 baada ya Emre Can kufunga goli la kichwa na kuiweka Liverpool mbele kipindi cha kwanza, kabla ya kuongeza goli la pili muda mfupi baada ya mapumziko baada ya Simon Mignolet kudaka shuti la Glenn Murray.
Mshambuliaji huyo wa Brighton alifunga kwa mkwaju wa penalti baada ya Jordan Henderson kumsukuma Shane Duffy dakika chache baadaye, lakini Liverpool waliimarisha matokeo yao kwa kufunga magoli mawili dakika za mwishoni.
Philippe Coutinho alifunga bao la nne akipiga mpira wa adhabu ndogo chini ya ukuta wa mabeki wa Brighton na mpira ulikwenda moja kwa moja na kuzama wavuni mlinda mlango asijue cha kufanya, na dakika mbili baadaye shuti lake liliguswa na Lewis Dunk aliyejifunga na kuhitimisha karamu ya magoli kwa Liverpool Jumamosi.
 
Some Liverpool's Stats Must be Known:
Liverpool this season so far:

1) Salah: 17 goals and 2 assists ⚽️
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️

2) Firmino: 10 goals and 4 assists ⚽️
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️

3) Coutinho: 5 goals and 6 assists ⚽️
⚽️⚽️⚽️⚽️

4) Mane: 5 goals and 4
assists ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️
 
When Hendo plays and we get a loose...its because of him...

When he doesn't and we win...its due to his absence....

When he plays and we win...its just nothing...

When he doesn't and we loose...its just nothing..

Full biased
 
Inaonesha Hukutazama Mpira Bali Uliperuzi Matokeo tu!!!

Hebu Waulize Waliotaza Mechi Wakwambie Uhusiano wa Coutinho na Ushindi Wa Jana...

Kazi Aliyoifanya Coutinho tokea Msimu Huu Uanze Basi Kaifanya Jana... Huyo Hendo Wako Jana Alikuwa Akizunguka tu Uwanjani Wala Hana Credit yoyote ya Kustahiki Kwani Hata Stats Za Maana Hana... Kwahiyo Ushindi Wa Jana Kwavile ni Teamwork, Basi Mchango Wake ni Mdogo Sana Manake Udhaifu Wake Umefichwa na Jembe Emre Can...

Kuhusu Tukifungwa Ni Kweli huwa anastahiki lawama Kwanza yeye akiwa kama ni Captain anashindwa Kuongoza Timu Katika Wakati Mgumu...

Pili Yeye ni Kiungo Mkabaji Kwahiyo Anashindwa Kuwalinda Mabeki na Kufanya Mabeki Lovren na Moreno Waonekane Wabovu na Kubebeshwa Lawama wakati asilimia 90% ya Makosa Yao Yanasababishwa Na Hendo Kuto Kuwasaidia Katika Ulinzi...

Kwahiyo Kuwemo au Kutokuwemo Hendo Katika Ushindi Hakumfanyi aonekane Msaada Katika Timu kwasababu ni aibu Kwa Captain Mpaka Mechi ya Jana Kupotea...

Subiri Aje Keita utaona kama Ni Biased au laa..
 
Wanaomtetea Hendo kuwa ni mchezaji mzuri huwa nawafikiria mara mbili mbili kuhusu upeo wao wa soka au huwa wanaendeshwa na mihemuko ya ushabiki.
 
Machine Zetu 3 za Mwisho Za Premier League Za Away:

West Ham 1 vs Liverpool 4 ⚽️⚽️⚽️⚽️

Stoke 0 vs Liverpool 3 ⚽️⚽️⚽️

Brighton 1 vs Liverpool 5 ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️

Jumla ni Magoli 12 tumefunga..
Na Magoli 2 tumefungwa ..

Good Stats!
 
Wanaomtetea Hendo kuwa ni mchezaji mzuri huwa nawafikiria mara mbili mbili kuhusu upeo wao wa soka au huwa wanaendeshwa na mihemuko ya ushabiki.

Kwasababu Ni Muengereza Kwahiyo Media Hazimgusi na Ndomana Hana Pressure anapokuwa Uwanjani...

Kwahiyo Mashabiki Wengi Wanaomtetea Hendo nimebaini Huwa Hawatazami Mpira Husubiri Matokeo tu Waangalie! Hii inapelekea Hawajui Udhaifu Wake Uko Wapi...

Na Kwavile Hawaoni Akilaumiwa Kwenye Media Kutokana na Uengereza Wake! Wao Huona Yupo Vizuri Kama Kante au Busquets na Hana Tatizo.
 
Ni mara mia tungebaki na kikongwe wetu Lucas Leiva
 
TO BE HONEST: Even with a win I maintain that there is no place for Henderson in the team.
He doesn't have what it takes to be a captain nor is he a good play maker.
 
UEFA kijana Mane with fresh legs
Usiwe na wasi wasi mkuu Anfield itakuwa nyekundu yote!
Mpe mshahara huo Emre Can abaki kikosini,mlete kipa wa ukweli,VVD na Keita
Liverpool ya Billy Shanky inarudi
kabisaa hapa inaonyesha tunahitaji usajili hiki kikosi kikamilike na tumuone Billy tena ndani ya Anfield
Bill alikua na msemo wake "first is first and second is nothing" ...itabidi turudi enzi hizo naamini Keita akitua na usajili wa maeneo yenye upungufu tutakaa poa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom