Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
HT:
Spartak Moscow 1 - 1 Liverpool
Sevilla 2 - 0 Maribor
Spartak Moscow 1 - 1 Liverpool
Sevilla 2 - 0 Maribor
Mkuu vp wapo ngap ngap now naomb ongeza na roma pmj na napoli wame score vPHT:
Spartak Moscow 1 - 1 Liverpool
Sevilla 2 - 0 Maribor
Hatukuwa na bahati tu!
Vijana walipambana sana ugenini
Sina wasi wasi na Liverpool ku qualify round ya pili!
Salah anakosa mabao ya wazi sana lkn Klopp atarekebisha hii
Liverpool is higher version of Arsenal FC... They work hard to disappointing FansMshakuwa pacha na arsenal.wenzio washapanga kumtimua.
Jipe moyo

Wameshaanza kumnyoshea vidole kloppNaona unatafuta ugomvi![]()
![]()
![]()
Hatukuwa na bahati tu!
Vijana walipambana sana ugenini
Sina wasi wasi na Liverpool ku qualify round ya pili!
Salah anakosa mabao ya wazi sana lkn Klopp atarekebisha hii
A real namba 9 anahitajika kabisa maana sio sawa kabisa kukosa kufunga magoli ya ushindi maana nafasi zile ni nyingi mno...Daniel makali yake bado hayajarejea tunamhitaji kama alivyokua na Surez....hata hivyo sasa utabidi kocha amuache Simon golini maana huyu Karius ni utata zaidi hata defence kuipanga vizuri anachemka..Kwa nafasi Tunazotengeneza na Kuzikosa! ni ukweli usiofichika Kuwa Tunahitaji Striker Wa Kuzitumia..
kwa man u kaka lol sioni kama watabaki sana kwenye hio nafasi kaka....naona mechi ya Southmpton walikua tia maji sana...BTW: Tunayonafasi Kubwa Ya Kusonga Mbele Kwenye 16 bora.... Naomba iwe hivyo kwani hili ndiyo Kombe pekee tulilobakisha Coz EPL tayari Man U na Man City wameshatutupa Nje Ya Fence hatumo tena Katika Ushindani Wa Ubingwa Msimu huu...
Tuwaachie wao Man U vs Man City Wagombanie nafasi ya Kwanza na Ya pili...
Chelsea vs Spurs Wagombanie Ya Tatu na Ya Nne..
Liverpool vs Arsenal Tugombanie Ya Tano na Ya Sita...
FA sidhani Kuwa Klopp ana mbavu za Kupambana na Vibonde...
Tumebakisha Kwenye Champion League! Wacha Tukomae Huko Champion League Huenda Tukapata Muujiza Kama Tuloupata Kwa Benitez
A real namba 9 anahitajika kabisa maana sio sawa kabisa kukosa kufunga magoli ya ushindi maana nafasi zile ni nyingi mno...Daniel makali yake bado hayajarejea tunamhitaji kama alivyokua na Surez....hata hivyo sasa utabidi kocha amuache Simon golini maana huyu Karius ni utata zaidi hata defence kuipanga vizuri anachemka..
kwa man u kaka lol sioni kama watabaki sana kwenye hio nafasi kaka....naona mechi ya Southmpton walikua tia maji sana...
Mlitoka ngapi ngapi na MoscoTukitoa draw Klopp out
Tukifungwa Klopp out
Team gani isiyo fungwa?Hata Man City na Man U watapoteza games za kutosha tu!
Klopp tuongoze vyema kesho Moscow na Jmos St James Park!
Tunakuamini sana!
Mkuu adi nakuonea huruma aiseee. Pole sana haya ni mapito tu ya muda mfupi....vumilia tu...ukishindwa sana karibu rangi ya blue.....the blues.BTW: Tunayonafasi Kubwa Ya Kusonga Mbele Kwenye 16 bora.... Naomba iwe hivyo kwani hili ndiyo Kombe pekee tulilobakisha Coz EPL tayari Man U na Man City wameshatutupa Nje Ya Fence hatumo tena Katika Ushindani Wa Ubingwa Msimu huu...
Tuwaachie wao Man U vs Man City Wagombanie nafasi ya Kwanza na Ya pili...
Chelsea vs Spurs Wagombanie Ya Tatu na Ya Nne..
Liverpool vs Arsenal Tugombanie Ya Tano na Ya Sita...
FA sidhani Kuwa Klopp ana mbavu za Kupambana na Vibonde...
Tumebakisha Kwenye Champion League! Wacha Tukomae Huko Champion League Huenda Tukapata Muujiza Kama Tuloupata Kwa Benitez