Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Timu yangu Liverpool imepata Kocha mzuri sana Mr Klopp.
nilazima mwaka huu tuchukue kombe lolote lile.
 
Mkuu Kiukweli Man U iwapo Lukaku Hatakaa Injury basi wanayonafasi Ya Kuchukua Ubingwa!!! Lakini Akikaa injury tu basi Hawana Safari...
aisee kweli kabisa hawa Man U Lukaku na Matip wamewaimairish vizuri sana aisee...kama jamaa hataumia ubingwa ni wao na Man cty...ni msimu huu Lukaku zile zake za kukosa naona sio sana kama zamani inazidi kua foward wa ukweli.
Firmino msimu huu hajaanza vizuri sana makali yake yamepungu sana huyu ndogo tofauti na msimu ulioisha...kwa staili hii ya uchezaji wa Klopp kweli big four kuipata ni mpaka Toten,Chels,Gunnerz wapotee na sisi tuwe more clinical kwenye ufungaji.
Sielewi kwa nini hajanunua striker pale Dortmud alikua nao...yaani Klop wa Dortmod na wa Liverpool ni watu wawili tofauti kabisaaaaa.
 
FAB 4 tuwape muda tu!
Mechi ya kwanza jana wameonyesha dalili nzuri sana!
Salah alikuwa anapiga hata hat trick easy tu jana
 
Sielewi kwa nini hajanunua striker pale Dortmud alikua nao...yaani Klop wa Dortmod na wa Liverpool ni watu wawili tofauti kabisaaaaa.


Mkuu Jambo hili mpaka leo na mimi ninajiuliza bila ya Kupata Jibu....! Jurgen Klopp Hajawahi Kuifundisha Dortmund Bila Ya World Class Striker! Lakini Cha Ajabu Ndani Ya Liverpool Hajawahi hata Kuwaza Kununua Striker...

Ama Kweli Klopp wa Dortmund (Jürgen Klopp) ni Tofauti na Klopp wa Liverpool (Brendan Klopp)....!
 
Mkuu Jambo hili mpaka leo na mimi ninajiuliza bila ya Kupata Jibu....! Jurgen Klopp Hajawahi Kuifundisha Dortmund Bila Ya World Class Striker! Lakini Cha Ajabu Ndani Ya Liverpool Hajawahi hata Kuwaza Kununua Striker...

Ama Kweli Klopp wa Dortmund (Jürgen Klopp) ni Tofauti na Klopp wa Liverpool (Brendan Klopp)....!
Ni ngumu kuelewa Mkuu...hata idara ya ulinzi nalo unashidwa kuelewa wakati Chels wananunua na Man cty yeye kang'ang'ania Vin mpaka usajili unafungwo...kwa hawa mabeki yaaani tutafungwo zaidi ya magoli 50 mpaka msimu unaisha aisee..
Pengine ni wakati mwafaka walete makocha wapya idara ya ulinzi na makipa maana hawa waliopo ni kipigo kila mechi au draw.
huwezi kupata ubingwa wa Uingereza kwa kurusu magoli zaidi ya 27 kwenda juu ni nadra mno kwa kweli.
 
Chls 2 gms 6 pts
City 2 gms 6 pts
Man u 2 gms 6 pts
Spurs 2 gms 6 pts
*Liver 2 gms 2 pts

Lets pray for YNWA......!!!
 
Chls 2 gms 6 pts
City 2 gms 6 pts
Man u 2 gms 6 pts
Spurs 2 gms 6 pts
*Liver 2 gms 2 pts

Lets pray for YNWA......!!!
ndiyo sababu pamoja na kuwa mimi ni one of the biggest all-time supporter was Klopp, am going to be one of his fiercest critics ([HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]) - until and unless when he turns the LFC's fortunes around by ensuring that we keep rubbing shoulders with the top dogs at the pile of the EPL.
he also needs to lift at least one (I mean any) silverware this term - which is the DNA of our beloved LFC. no more no less, otherwise [HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG] !!

he's also being paid very handsomely.... top 5 in the EPL. time to start earning his quid, goddamn it!

1. Pep Guardiola - annual salary £15 million
2. Jose Mourinho - annual salary £15 million
3. Arsene Wenger - annual salary £8.3 million
4. Jurgen Klopp - annual salary £7 million
5. Antonio Conte - annual salary £6.5 million
 
c0b1e7dcd33fef75778cec2b74c87c69.jpg
 
Chls 2 gms 6 pts
City 2 gms 6 pts
Man u 2 gms 6 pts
Spurs 2 gms 6 pts
*Liver 2 gms 2 pts

Lets pray for YNWA......!!!

This is just the beginning! At the end only Liverpool from English Clubs will reach the Final stage at Champion League! Oh God! We can even Lift a Trophy....
 
my take:
Carlo has won a hat trick of UCL trophies plus countless domestic trophies in 4 of the biggest leagues in Europe. yet he has been sacked less than 2 months into a season without forgetting that he led Bayern to the Bundesliga title only recently (last season).

hivi ndivyo clubs zote zenye DNA ya silverware (kama LFC) zinatakiwa kufanya kwa kocha yeyote anayembwela mbwela. ni watu naïve tu na wasioijua LFC vizuri ndiyo wanaoendelea kumchekea chekea Klopp na ngonjera zake.
he has to improve - and fast - or else [HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG] !



Carlo Ancelotti: Bayern Munich sack Italian manager


_98060446_ancelotti_reuters.jpg

Carlo Ancelotti has been sacked as manager of Bayern Munich.
Following Wednesday's 3-0 Champions League defeat by Paris St-Germain, the club's board has decided to dismiss the Italian, who replaced Pep Guardiola at the start of last season.

Ancelotti, 58, helped Bayern win the Bundesliga last term, but they only reached the last eight of the Champions League and the German Cup semi-finals.


Assistant boss Willy Sagnol will take temporary charge.

Bayern, league champions in each of the past five seasons, are third in the German table, three points behind Borussia Dortmund, with four wins, one draw and one defeat from their first six matches. They next play away to Hertha Berlin on Sunday (14:30 BST).

"The performance of our team since the start of the season did not meet the expectations we put to them," said Bayern's chief executive Karl-Heinz Rummenigge.

"I would like to thank Carlo for his cooperation. Carlo is my friend and will remain my friend, but we had to make a professional decision. The game in Paris clearly showed that we had to draw consequences."

Former Chelsea, PSG, Real Madrid and AC Milan boss Ancelotti has won the Champions League three times - with Milan in 2003 and 2007, and with Madrid in 2014.

That return makes him the joint most successful manager in European Cup history, along with former Liverpool boss Bob Paisley, who also won three titles, in 1977, 1978 and 1981.

Ancelotti also led Milan to the Champions League final in 2005, but the Italian side were beaten on penalties by Liverpool, despite having led 3-0 at half-time.
 
Firmino undoubtedly talented, But is he an out & out goal machine?
Stats over 291 games shown below. Do [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG] need a dedicated traditional 9?


IMG_20170930_170117.jpg
 
LINE - UP ya Leo

Liverpool team:
Mignolet, Gomez, Matip, Lovren, Moreno, Henderson, Wijnaldum, Coutinho, Salah, Mane, Sturridge.

Substitutes:
Karius, Klavan, Milner, Can, Oxlade-Chamberlain, Firmino, Solanke.


IMG_20171001_180354.jpg
 
Kulingana Na Kikosi Cha Leo Kinachoanza na Kumueka Juu Firmino na Kuanza Sturridge inaonesha Klopp anajaribu Kutaka Kutibu Tatizo la Ufungaji baada ya Malalamiko Ya Wadau Wengi Wa Soka Kulalamikia Kuwa Liverpool inatengeneza Nafasi Nyingi Za Kufunga ila inaishia Kuzipoteza kutokana na Kukosa Goal Machine ambaye ni Real Traditional Number 9...

Lakini je DS yupo katika ubora Wake wa Kuwa Traditional Number 9?
Isijekuwa Tumeacha Njia Tunapita Msituni!!!
 
BTW: Ninachotarajia leo ni Points 3 tu za Ushindi wowote hule na si jengine...

Come on reds! Come on! Kill that game as early as possible.. Only I need is damn happy from Fvckin victory...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom