Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhani Sasa Barcelona watafahamu kwanini Maana ya "NOT FOR SALE" manake wapegigwa €200m kwa Makusidi ili kuoneshwa Kua Mchezaji hauzwi!!! Hatimae wameuchomoa wakaingia Mitini na Kumuacha Cou ndani ya Merseyside
 
Huyu ni kama SG8 ana moyo wa Liverpool sio kama hawa wapita njia amini usiamini atapata nafasi sababu atacheza kwa kujituma na kwa upendo pia.

Au waweza sema ni kama THEO WELCOT ... They are Liverpool Fanboys since childhood.
 
Huyu Lovren hata akitangazwa anauzwa hatutopata offer ! .....yaani jamaa kama teja !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu Chamberlain ni bora angebaki tu arsenal sasa COU yupo ina maana soon kati ya Can Wildinum au Salah.mmoja wapo atasugua kumpisha Le magician

Sent using Jamii Forums mobile app

OX ni usajili mzuri sana!
Can HAJASAINI hadi sasa na mwezi January anakuwa huru kuongea na team ingine
OX ataziba nafasi yake temporarily
 
Liverpool ndiyo mabingwa wa EPL!
Wasi wasi wenu mtauweka kapuni!!
 
Lovren wife tried to leave him for a man who works as a timberman in croatia..without even caring that he pockets 100k per week at LFC

This nigga is clueless and shit even in bed ffs

And y'all think he will lead us to glory lol..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha sana
 
Mmefanya makosa makubwa sana kumzuia Cotinyo kwenda barca...sasa mtaona kitu atafanya uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app


Yeye ndiye atakaejikanyaga kwa lolote atakalolifanya...

1) Akicheza chini ya Kiwango ataishia benchi na atakosa Soko hilo analoringia kwani Hakuna Barcelona itakayohitaji Flop.

2) Na Akileta Jeuri ajue kama Klopp ni mjeuri kuliko yeye! Atamgeuza Kama Sakho... Atampeleka U23s ambako hataonekana na Mtu yeyote.

NOTE: Njia pekee ya Kuforce move ni Kucheza kwa bidii zaidi ili azidi Kuonekana kwani Barcelona bado ni wadogo kwa Kuforce selling ya Mchezaji!!
ila atakapoonekana na PSG ni lazima atauzwa kwani wao wanaendana na Falsafa ya Kuwa Hela inaongea.. Wanajua Kuforce move kwa kutumia hela na si kutongoza kama Barcelona.
 
Pia mwakani kuna kombe la dunia. Asipocheza vizuri atakosa nafasi kwa mara nyingine ya kushiriki kwenye kombe la dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah! Huu ndiyo muonekano wa Mchezaji wa Liverpool....

Baada ya OX Kuhama Kule kwenye Kigenge Cha Wenger pia Amezinyoa Zile Nywele Za Kiajabu ajabu za Kiasanali....
Sasa anza Kuadapt maisha ya Liverpool boy...

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…