Dogo huyu anajua sana tatizo pale nyuma ni Lovren
nionavyo mimi... tatizo kubwa na la msingi ni defending system anayoifundisha JK. hata mtangulizi wake BR alikuwa na the same shortcoming. chini ya JK hata akiletwa Ramos, VVD au nani - tatizo litabaki pale pale.
mfumo!
mfumo!
mfumo!!!!
tumeona jinsi Lovren alivyokuwa mzuri pale Southampton. Moreno was one of the best full backs kwenye La Liga kabla hatujamnyakua kutoka Seville (walikuwa wanamtabiria kuwa ni Roberto Carlos mpya kwenye La Liga yao). embu ona Sakho kwenye loan spell pale Palace. nk, nk, nk.
coach mwingine (Pulis, Benitez, Allardyce, etc) akiichukua hii defence yetu ya sasa, am sure inaweza kuwa ni moja ya defence imara sana kwenye EPL. hii defence yetu hai-defend kabisa chini ya mfumo wa JK. Matip kwenye kona pamoja na urefu wote ule haruki kupiga vichwa mipira anasubiri second balls ambazo kuokoa ndani ya 18 ni kama kucheza kamari. and all this is about systems and coaching!
JK anapaswa aiache defence ifanye kazi yake. atumie zonal marking as and when only. in fact inapaswa awape defenders wake standing instructions kabisa.... "your job is to defend ONLY you morons!".
kwa siku zilizosalia kabla ya dirisha la usajili kufungwa, he should forget about VVD na badala yake yampasa atafutate viungo 2 wakabaji wazuri (at any cost) kwa ajili ya quick transition from defence to attack. Henderson na Wijnaldum wabaki kuwa squad members only.