BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Hodi hodi humu jamani watani ...vipi tena
Liverpool have accepted a £90m offer from Barcelona for Philippe Coutinho.
What goes around always comes around
Kuwa mpole mkuu dogo wala ha-force move kila kitu kisubiri muda kuongeaView attachment 560346
Hodi hodi humu jamani watani ...vipi tena
Liverpool have accepted a £90m offer from Barcelona for Philippe Coutinho.
What goes around always comes around
Dogo yupo na liver tumesema hauzwi ndio.maana.mpk sasa barca hawajaleta second bid badala ya ile £72 kukataliwaWakuu kwani dogo kashaomba Transfer???
Sijui huku umefuata nini?Hayanihusu
The man wants Liverpool and will e happy to his arrival at AnfieldVirgil van Dijk submits transfer request
Hahaaa coutinho anamaumivu ya mgongoDogo yupo na liver tumesema hauzwi ndio.maana.mpk sasa barca hawajaleta second bid badala ya ile £72 kukataliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu continho anawanyima kweli usingizi mnatamani hata afe au aondoke na msimu huu anawanyoaHahaaa coutinho anamaumivu ya mgongo
Jiandae kisaikolojia
Hapa inakuwaje tutamchukua jamaa?? Maana Klopp juzi alisema haitaji CB au ndio alikuwa anacheza na media kutoa attention ili yasitokee kama yalotokea mwanzo???Virgil van Dijk submits transfer request
mkuu mimi barc fan na wala sina timu yeyote hapo kwa malkia elizaHuyu continho anawanyima kweli usingizi mnatamani hata afe au aondoke na msimu huu anawanyoa
Southampton wanasemaje kuhusu hili suala maana mimi nishachanganyikiwa pale kati sina imani na Lovren.Hapa inakuwaje tutamchukua jamaa?? Maana Klopp juzi alisema haitaji CB au ndio alikuwa anacheza na media kutoa attention ili yasitokee kama yalotokea mwanzo???
Huyu jamaa tunamchukua mchana kweupeeee maana alishasema anataka kusepa na timu anayotaka kucheza ni liverpoolHapa inakuwaje tutamchukua jamaa?? Maana Klopp juzi alisema haitaji CB au ndio alikuwa anacheza na media kutoa attention ili yasitokee kama yalotokea mwanzo???
Mi mwenyewe nashangaaSijui huku umefuata nini?
Mbona mi sielewi CB na VD ndio nini?Southamptom wameanza kumtafuta CB mwingine ukiona hivyo ujue VD tunamchukua
Ili mradi jamaa ameomba transfer request naona mambo yatakuwa mazuri muda si mrefu, Me mwenyewe Lovren kwa kweli hapana sina imani nae, Matip akisimama na VVD pale kati patakuwa patamu sana, ngoja tuone itakavoenda.Southampton wanasemaje kuhusu hili suala maana mimi nishachanganyikiwa pale kati sina imani na Lovren.
Tuombe deal itiki mkuu yasijekuwa kama ya Keita tena.Huyu jamaa tunamchukua mchana kweupeeee maana alishasema anataka kusepa na timu anayotaka kucheza ni liverpool