Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamani huyu Milner mbona kachoka. Pass mbovu. Kross mbovu.
Nadhani Liver inamzidi uwezo Klopp.
 
Bao tatu wamekosa WHU za wazi kabisa hasa ile yadakika ya 6 na dakika ya 43
Tukichomoka hapa na kucheza CL hapo katikati aje mtu mwingine acheze na Matip
Lovren hafai kabisa
 
Milner nadhani kukosa penalty na Soton kumemkosesha sana raha!
JK ataleta mtu hapo kushoto na kuna habari Robertoson na Maguire wa Hull wanakuja
 
Hata kabla ya mechi ya WH leo. Anappteza mipira.
Halafu Orig anakaa na mpira sana. Naitamani LFC ya Steven G,Alonso, Masherano, Reina, Torres.
 
Bao tatu wamekosa WHU za wazi kabisa hasa ile yadakika ya 6 na dakika ya 43
Tukichomoka hapa na kucheza CL hapo katikati aje mtu mwingine acheze na Matip
Lovren hafai kabisa
Yumo kwenye mipango ya muda mrefu ya Klopp.Amesainishwa mkataba mpya juzi kati tu.
 
Milner nadhani kukosa penalty na Soton kumemkosesha sana raha!
JK ataleta mtu hapo kushoto na kuna habari Robertoson na Maguire wa Hull wanakuja
Umesahau ulikuwa unasema Milner ndio best left back kwenye EPL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom