Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Spot what difference? Alafu jibu swali langu, Looser anakuzidije mzee? unakimbilia Ujumla. Looser anakuzidije?? Ilibidi saa hii uwe huko fainali. Uwe wa kwanza kwenye ligi ama wa pili, ila wa sita! Tena nafasi uliyong'ang'ania. Wewe winner unaongoza kwa madroo tena kwenye uwanja wako. Huko Europa unatiatia maji, alafu unakuja kung'ang'ana hapa.

Oooh kwa ujumla. kwahiyo kwa moja moja Liver sio Looser ila kwa ujumla?
HAHAHAAAAAAA steve unaelewa maana ya loser? nimekuambia mlipoteza fainali mbili ndani ya msimu mmoja, hii inatosha kabisa we kuwa loser,

alafu unaniuliza loser ananizidi vipi? kwani ukinizidi kwenye msimamo ndio inafuta kuwa loser? at least tuna droo but we dont lose simply bcoz we are not a LOSER as you,

any way mwamba ngoma huvutia kwake, but one trophy in TEN YEARS, TEN, alafu unataka kujifananisha na timu yenye two trophies in less than a year hii utaipata kwa mashabiki wa liverpool tu.

have a good day broh
 
Bila aibu unasema kwanini nakomalia Europe cups? Hivi kweli shabiki unauliza swali kama hilo? Kwa level ya Clubs kuna makombe yenye heshima kama UEFA? Kwahiyo wewe ukivikusanya hivyo vi Carling na Shields nyiiiiingi utajiita mkubwa kuliko Barcelona ama Real mwenye UEFA Cups?

Bora Ulivyomjibu Manake Anatia Huruma Kucomplain Kwamba eti Liverpool anafurahia Kuwa Juu ya Mancheser (Top 4) Wakati Hiyo Top Ndiyo Ndoto ya Kila Timu Kucheza CL.......
Tena Anasema Hayo Wakati yeye mwenyewe Anavizia CL kupitia Europa Cup baada Ya Kushindwa Kupitia EPL....
 
HAHAHAAAAAAA steve unaelewa maana ya loser? nimekuambia mlipoteza fainali mbili ndani ya msimu mmoja, hii inatosha kabisa we kuwa loser,

alafu unaniuliza loser ananizidi vipi? kwani ukinizidi kwenye msimamo ndio inafuta kuwa loser? at least tuna droo but we dont lose simply bcoz we are not a LOSER as you,

any way mwamba ngoma huvutia kwake, but one trophy in TEN YEARS, TEN, alafu unataka kujifananisha na timu yenye two trophies in less than a year hii utaipata kwa mashabiki wa liverpool tu.

have a good day broh
Bora uende maana hata hatuelewani. Siku ukipata UEFA cups tano. Rudi hapa utuite Looser. Otherwise we are still Euro Elite. Kakusanye Carling na Shields useme tumewapita Liverpool makombe.
 
Bila aibu unasema kwanini nakomalia Europe cups? Hivi kweli shabiki unauliza swali kama hilo? Kwa level ya Clubs kuna makombe yenye heshima kama UEFA? Kwahiyo wewe ukivikusanya hivyo vi Carling na Shields nyiiiiingi utajiita mkubwa kuliko Barcelona ama Real mwenye UEFA Cups?
tulienda vizuri sasa hapa utafanya nikudharau mkuu, mafanikio ya timu hayapimwi kwa uefa pekee mkuu, wapi umeona nimeongelea C. shield?

arsenal haijawahi kubeba uefa kwahyo ni ndogo kuliko chelsea, astonvilla na N. Forest? kwahyo ajax ni kubwa kuliko A. madrid?
 
Unajua kitu kinaitwa European Elites?
 
tulienda vizuri sasa hapa utafanya nikudharau mkuu, mafanikio ya timu hayapimwi kwa uefa pekee mkuu, wapi umeona nimeongelea C. shield?

arsenal haijawahi kubeba uefa kwahyo ni ndogo kuliko chelsea, astonvilla na N. Forest? kwahyo ajax ni kubwa kuliko A. madrid?
Wewe unakimbilia ujumla, sasa ujumla wa makombe gani? Si ndo kama hayo ambayo unasema umeyashinda, mkuu?
 
Bora uende maana hata hatuelewani. Siku ukipata UEFA cups tano. Rudi hapa utuite Looser. Otherwise we are still Euro Elite. Kakusanye Carling na Shields useme tumewapita Liverpool makombe.
at least naijua radha ya uefa nenda kabebe PL angalau moja uonje radha yake na wewe
 
at least naijua radha ya uefa nenda kabebe PL angalau moja uonje radha yake na wewe
At least... then you come here to the home of European Elite kutuita Looser? hahaha mkuu. Liver hajawah kubeba PL. Haya we are looser.
 
tulikua tunazungumzia European elites au timu yenye mafanikio kwa ujumla? mbona una ruka ruka,
Ulikuja hapa ukasema Liver ni looser kwa ujumla? Looser unakuwaje among European Elites wewe winner haupo?

Mzee baba kwa level ya club, nothing to compare with UEFA. Alafu sisi tupo milele juu yenu sasa.
 
Wewe unakimbilia ujumla, sasa ujumla wa makombe gani? Si ndo kama hayo ambayo unasema umeyashinda, mkuu?
hapana, toa community shield alafu niwekee jumla ya makombe yenu hapa, alafu na mimi nitakiwekea yetu
 
hapana, toa community shield alafu niwekee jumla ya makombe yenu hapa, alafu na mimi nitakiwekea yetu
Mzee baba, naona hata hatuelewani. Una makombe ya PL mengi kuliko sisi. Sijakataa. Ila wewe una UEFA cups tatu, mie tano.

Ninachokisema ni kwamba, si tu kwangu, bali kote. Hakuna mchezaji wa klabu asiyetaka kucheza UEFA. hakuna kocha asiyetaka kunyanyua UEFA cup. Kwa hatua ya Club hakuna cha kufananisha na UEFA cups.

Sasa Looser amekuzidi hapo. Na hutawah kumweka chini daima.

Chelsea na Arsenal si timu za kufananisha na Liverpool. Kwa upande wa Ulaya nzima, wapo sawa tu na wakina N. Forest.
 
nimekuuliza swali naona unali-skip

chelsea ni kubwa kuliko arsenal?

ajax ni kubwa kuliko A.Madrid na juve?

naomba nijibu hapo tuumalize mjadala.
 
nimekuuliza swali naona unali-skip

chelsea ni kubwa kuliko arsenal?

ajax ni kubwa kuliko A.Madrid na juve?

naomba nijibu hapo tuumalize mjadala.
Unaongelea ukubwa kivip wewee? Arsenal, Chelsea wapo level sawa tu na N. Forest. Sijakujibu? Au wewe unaongelea ukubwa wa makombe ya PL?
 
Unaongelea ukubwa kivip wewee? Arsenal, Chelsea wapo level sawa tu na N. Forest. Sijakujibu? Au wewe unaongelea ukubwa wa makombe ya PL?
sasa kwa nini unamuweka arsenal kwenye kundi moja na N. forest wakati arsenal hana uefa, huoni kama unamuonea forest?

vipi kuhusu ajax na atletic madrid/juve ipi timu kubwa?
 
sasa kwa nini unamuweka arsenal kwenye kundi moja na N. forest wakati arsenal hana uefa, huoni kama unamuonea forest?

vipi kuhusu ajax na atletic madrid/juve ipi timu kubwa?

Tena jifiche hapahapa ndani ya JF..! Lakini palipo na Wanaojua Mpira Hata Siku moja Usijeifananisha AJAX na Mambo ya Kipumbavu (Atletico Madrid)….

Yani Ajax aliyejiekea rekodi ya Kubeba Champion League mara 3 mfululizo unamfananisha na AM aliepoteza Fainali 2 mfululizo???

Kwa hali hii una kila Hali ya Kujivunia Charity Shield na League Cup Kuwa ndiyo muliyojazia Kabati.... Sijaui kama angalau unajua Kuwa Hilo Kombe la EUROPER muliloingia Fainali Hamjawahi Kulichukua!!!!!!
 
79ad5b1654104ff64eb5d5b687c8050d.jpg
911bba3f4fde8809871027a1514659b8.jpg
2fb5160789ecc6064741d026e4807e67.jpg
4407531594b818c7c00be65ba751d16d.jpg
 
'Hatupo mbali sana'

Jurgen Klopp amedai kwamba Liverpool haipo mbali sana dhidi ya vinara Chelsea na wanaweza kushindana nao vizuri msimu ujao licha ya kuwa na tofauti ya pointi 14 dhidi ya Chelsea.

Liverpool waliwafunga Chelsea 2-1 katika dimba la Stamford Bridge mwezi Septemba licha ya kwamba matokeo hayo yalikuwa kabla ya Antonio Conte kuhami kwenye mfumo wa
3-4-3 ambao umewafanya kuwa na kiwango kizuri mpaka sasa.

Liverpool kwa sasa wanashika nafasi ya tatu, wakiwa wamecheza mechi moja zaidi ya vilabu vitatu chini yao, Manchester City, Arsenal na Manchester United.

Licha ya kushindwa kushindania ubingwa wa EPL msimu huu, Liverpool wana rekodi nzuri dhidi ya Vilabu vinavyoshika nafasi sita za juu wakiwa hawajapoteza mchezo na kukusanya pointi 20 kati ya 30 dhidi ya wapinzani wao hao, na Klopp anahisi kwamba hawapo mbali sana.

"Angalia mechi tulizocheza dhidi ya Chelsea." Alisema Klopp.

"Hatukuwa wabaya sana zaidi ya pointi 14 hilo ni uhakika lakini wao wana uzoefu sana, wabaridi kama barafu na wanakusanya pointi. Wanacheza bila kuwa na mzaha na wanamalizia nafasi pale wanapobidi kufanya hivyo."

"Wote tunajua kwamba pengo sio kubwa sana, lakini pengo lilikuwa kubwa kwa jinsi wanavyocheza ."

"Chelsea wanastahili ubingwa lakini kama nilivyosema hapo awali kwamba wana bahati sana dhidi ya majeraha. Diego Costa, alikosa hata mechi ? Eden Hazard mechi moja ? Pedro anaweza kucheza, Willian anaweza kucheza na safu yao ya ulinzi inaweza kucheza pia."

"Sio tu kuhusu Chelsea. Angalia hata tulivyocheza dhidi ya Tottenham. Lakini wote tutakuwa na msimu tofauti mwakani."
f9a7c487549cec11880d1f8f0281c2ca.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom