xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
umekuja na wewe? ungekua unatumia lugha ya staha kama steve ningeanzisha mazungumzo tuongee mpira, lakini sababu unaendeshwa na mihemko leeme call it a day,Tena jifiche hapahapa ndani ya JF..! Lakini palipo na Wanaojua Mpira Hata Siku moja Usijeifananisha AJAX na Mambo ya Kipumbavu (Atletico Madrid)….
Yani Ajax aliyejiekea rekodi ya Kubeba Champion League mara 3 mfululizo unamfananisha na AM aliepoteza Fainali 2 mfululizo???
Kwa hali hii una kila Hali ya Kujivunia Charity Shield na League Cup Kuwa ndiyo muliyojazia Kabati.... Sijaui kama angalau unajua Kuwa Hilo Kombe la EUROPER muliloingia Fainali Hamjawahi Kulichukua!!!!!!
have a nice evening.