Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Are you a soccer fan?
Chelsea anachukia wachezaji wake wapi?
Unajua Hazard na Willian wametoka wapi?
Nonsense at all!
Kuna watu wametoka barca , atletico , Leicester n other places n wamekuja they are winners already
 
Too low
simply you dont know what are you saying!
Alipokuwa Atletic keeper Cout kawahi shinda nn?
Hazard nje ya Chelsea kawahi shinda nn na wpai?
Mosses,Alonso,Cahil na Luiz nje ya Chelsea wameshinda nn?
Kwa nn Liverpool nao wasitengeneze wenyewe squad yao ya kushinda?
Azli kawahi shinda nn?
Willian,Matic?
Ww ni soccer fun sio soccer fan!
 
Kuna watu wametoka barca , atletico , Leicester n other places n wamekuja they are winners already

Wewe Kumbe Msukule Kweli!!! Hivi Ukitoa Fabi, Pedro, na Kante ni Mchezaji gani Mwengine Wa Chelshit Aliyewahi Kupata Mafanikio Nje Ya Chelshit?????

Kama Mpira Sio fani yako ni bora Ukamanyamaza....
 
Unazungumzia mafanikio gani ?
Kama ni ubingwa Courtois,Costa,Luiz,Willian,Matic,Hazard wamewahi chukua ubingwa kwenye timu zao kabla hawajasajiliwa Chelsea
 
965e9c0a1c01c10f8acea6a7e7773961.jpg
efcc188779bfd17c767d26b562d47795.jpg
 
Jifurahishe tu mkuu. Wewe umechukua kombe? Wa ngapi kwenye ligi? Una Euro cups ngapi? hahha Manure.
unazungumzia historia au current issue?

kama historia basi we are the most successful club in England.

kama ni ishu ya msimu huu, we are in europa league cup final with league cup medal while you are busy celebrating Manchester kuwa wa sita.
 
Mzee baba acha kuruka ruka kama maharage. Hiyo historia iliokotwa au? Kwanini na wewe hauna? Kwani haukuwepo? Kama unaongelea current issue wewe ni wangapi kwenye ligi? Looser anakuwa juu yako? Fainali ya Europa ndiyo imekuleta hapa? Umeshinda? Unategemea kumfunga Ajax?

Usichekeshe umati. Unaulizwa una Europe cups ngapi unaruka ruka.
 
nimekuuliza swali unaongelea historia au current ishu?

kama ni historia bado tumewazidi, kwa current ishu bado huna cha kuongea hadi sasa tuna medali ya league cup pia tupo fainali ya europa,

haupo uefa, haupo europa, haupo FA, league cup ulishatimuliwa, ubingwa hubebi, kwani huu msimu we ulikua haukuhusu? Au nyie mnacheza ili muwe juu ya Manchester tu?

na ukiniuliza euro cups ninazo ngapi mi nitakuuliza una PL ngapi?
 
Hahaha dah mkuu wajitoa ufahamu sana wewe. Anyway, unafananisha PL na Europe cups? Shida yangu ni kwamba; Huyo unayemuita Looser anakuzidije? Anakuzidije Makombe ya Ulaya? Anakuzidije position ya league huku wewe ukihangaika huko ili ucheze Uefa? Tena ukizingatia umesajili kwa mamilioni? Huyo Looser huyo?
 
unajua kwanini namuita loser?

1: nimemzidi jumla ya makombe na mafanikio kwa ujumla

2: kwa msimu mmoja (uliopita) kacheza fainali mbili na zote kapoteza (true definition of loser), wakati mimi msimu uliopita nimecheza fainali moja na kuchukua kombe, kwa msimu huu pia hadi saizi nimecheza fainali moja nayo nimeshachukua nasubiri ya pili saizi.

3: kwa mara ya kwanza hii naipata kwako mkuu kwamba bora uwe top four kuliko medali, OOOPSSSS hata wenger pia aliongea, ( loser mentality)

4: nimetumia pesa nyingi kusajili ndio maana makombe hayaishi, mwaka jana, mwaka huu na bado nasubiri lingine.

labda nikuulize swali, kwa msimu huu wachezaji wenu wana nini cha kujivunia? kuzifunga timu zote kubwa au kuingia top four? kwa upande wa Manchester watajivunia kuvaa medali na kufika fainali hata tusipochukua inaandikwa kwenye historia.
 
Hata akifungwa inaingia kwenye historia. Umesahau Liver aliingia fainali Europa? Au imepita mbali na historia?

Sijasema kuigia top four ni bora kuliko medali. Ila nimekuuliza inakuaje Loser anakuwa juu yako? Inakuwaje looser anakupita Europe cups? hiyo kujiita most successful English club ambayo umeitoa kwa Liverpool, umemzidi makombe mangapi? Wewe uliyetumia mamilioni ya mapesa unahaha kucheza UEFA? unashinda vikombe vya.mbuzi unajisifia? Inaendana na investment yako? Au kwako kombe ni kombe ndo maana wafananisha PL na UEFA??

Unafanya usajili ili ushinde Carling n' Shields things?? Alafu ung'ang'ane na namba sita kwenye ligi? Serious?
 
labda nikuulize swali, kwa msimu huu wachezaji wenu wana nini cha kujivunia? kuzifunga timu zote kubwa au kuingia top four? kwa upande wa Manchester watajivunia kuvaa medali na kufika fainali hata tusipochukua inaandikwa kwenye historia.

Hata akifungwa inaingia kwenye historia. Umesahau Liver aliingia fainali Europa? Au imepita mbali na historia?

spot the difference
Sijasema kuigia top four ni bora kuliko medali. Ila nimekuuliza inakuaje Loser anakuwa juu yako?

we are playing for trophies and not be above some one.

Inakuwaje looser anakupita Europe cups?

kwanini unakomaa na europ cups wakati jumla ya makombe nimekuzidi, hesabu makombe in general

hiyo kujiita most successful English club ambayo umeitoa kwa Liverpool, umemzidi makombe mangapi?

hata kama nimemzidi moja, ukweli ni kwamba nimemzidi.

Wewe uliyetumia mamilioni ya mapesa unahaha kucheza UEFA? unashinda vikombe vya.mbuzi unajisifia? Inaendana na investment yako?

Hivi unajua liverpool toka mara ya mwisho kuchukua kombe katumia shingapi kwenye usajili? hata hilo la mbuzi lenyewe limemshinda

Au kwako kombe ni kombe ndo maana wafananisha PL na UEFA??

Unafanya usajili ili ushinde Carling n' Shields things?? Alafu ung'ang'ane na namba sita kwenye ligi? Serious?
 
Spot what difference? Alafu jibu swali langu, Looser anakuzidije mzee? unakimbilia Ujumla. Looser anakuzidije?? Ilibidi saa hii uwe huko fainali. Uwe wa kwanza kwenye ligi ama wa pili, ila wa sita! Tena nafasi uliyong'ang'ania. Wewe winner unaongoza kwa madroo tena kwenye uwanja wako. Huko Europa unatiatia maji, alafu unakuja kung'ang'ana hapa.

Oooh kwa ujumla. kwahiyo kwa moja moja Liver sio Looser ila kwa ujumla?
 
Bila aibu unasema kwanini nakomalia Europe cups? Hivi kweli shabiki unauliza swali kama hilo? Kwa level ya Clubs kuna makombe yenye heshima kama UEFA? Kwahiyo wewe ukivikusanya hivyo vi Carling na Shields nyiiiiingi utajiita mkubwa kuliko Barcelona ama Real mwenye UEFA Cups?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom