Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

af7790500430097349f14e5948208687.jpg
Swagg
 
I think Coutinho na Firmino wanahitaji kocha mzoefu wa kuchannel nguvu zao towards scoring more.

Is this from you?
One of respected pundit to analyze soccer and its development on this forum?
You never stop to crank me up bro!
Kocha mzoefu kama bored to watch Conte?
 
Huu ushindi Wa Leo Haunipi Furaha Hata Kidogo na Reasons behind ni Kwamba ↓↓:

1) Performance Ya Leo Si Kigezo Kwamba Timu Yetu ipo Sawa! Bali Ni Kawaida Tu Huwa Tunaboreka Tunapocheza na Timu za Top Six, Lakini Tunakuwa kama Nyanya Tunapocheza na Vibonde....

2) Sisi Kumfunga Spurs Ni Wazi Kuwa Tumemuondolea Pressure Conte Na Kumpa Confidence Ya Kujihakikishia Ubingwa...

3) Ushindi Utamfanya Klopp aone Timu Yake Ipo Sawa! kwahiyo Hataona tena Umuhimu Wa Kusajili na Kuendelea Kubakia Na Wachezaji Wake Wabovu..

But I Don't Care about this Victory as long as we are top against Man Unite......
 
All in all hii timu bado ni mbovu sana
We need a world class goal keeper, full back left, center half, a winger and pure goal poacher center forward
Bila hivyo tutaishia top 4 tu kama arsenal have been doing for a decade
 
Ile Liverpool iliyoanza ligi last August ndio hii ya jana. Walikuwa full confidence. kwa ujumla timu ilicheza vizuri haswa kipindi cha kwanza. Kama tungekuwa makini tungepata hata goli 4.

Tatizo ni kwamba tumechelewa na train ishaondoka. Tupiganie kuwa ndani ya top 4 kwani ubingwa tayari tushaukosa.
 
tatizo la hii timu yetu liko zaidi kichwani (mental) kuliko kitu kingine chochote. timu haipotezi mechi dhidi ya top 6 lakini inapoteza against zilizoko kwenye relegation dogfight? mental!!

ni kazi ya manager kuwajenga wachezaji wake upya ingawa kusema za kweli wengi wao ni magarasa tu.

Klopp nadhani keshaanza kutambua kuwa EPL is a totally different animal na huwezi kushinda chochote na wachezaji urojo urojo kama Lalana, etc. so asiponunua wachezaji wazuri this summer atambue kuwa Xmas ya mwaka huu haitamkuta Melwood!
same-o-L.

next ni Leicester - usishangae tukiachia points pale. mental problem from mediocre players!
 
All in all hii timu bado ni mbovu sana
We need a world class goal keeper, full back left, center half, a winger and pure goal poacher center forward
Bila hivyo tutaishia top 4 tu kama arsenal have been doing for a decade

Mkuu Bila Ya Kusahau Ni Kwamba Kwenye EPL Liverpool Ndiyo Timu Pekee iliyokuwa Haina Holding/Defensive Midfielder ambaye ni Original Half Back Six.....
Kwa Kikosi Kizima mwenye Nature Ya DM ni Lucas Leiva Peke Yake Ambaye amebadilishiwa Position na Kuwa Defender...

Anayecheza Defensive Midfield Kwa Sasa Ni Hendo ambaye sio Position Yake na Anacheza Hovyo Kabisa jambo ambalo linatufanya TuConcede Magoli Mengi almost Kila Gemu Tena Hana hata Sab....

Kwa Hiyo Klopp Wakati wa Summer Window Ni Lazima Asajili Namba 6 ambaye Ni Original Holding Midfielder tena Talented Player sio Garasa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom