mozilla
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 790
- 1,264
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua Taji la EPL kibao cha Welcome Dsm kilikuwa Ubungo.
Sinza ilikuwa kichaka cha nyani wa Chuo Kikuu cha Dsm...
Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
Mara ya mwisho Liverpool kuchukua Taji la EPL kibao cha Welcome Dsm kilikuwa Ubungo.
Sinza ilikuwa kichaka cha nyani wa Chuo Kikuu cha Dsm...
Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
Looserfool siku hizi hawana tofauti na arsenal, mwanzoni mwa msimu maneno mengiiiii lakin nafasi yenu mwisho wa msimu hakuna asiyeijua![]()
![]()
![]()
![]()
Sio mbaya tukafukua fukua makaburi kidogoWewe Nawe Umekuwa Muongeleaji Soka??
Hivi Umewahi Kuiona Liverpool ikaanza Na Kasi Kama Arsenal ikasha ikaishia Njiani??
Hebu eka Historia Hapa Ya Miaka 10 iliyopita Ya Liverpool Muda Kama Huu ilikuwa na Points Ngapi na inaishia Nafasi Ya Ngapi!!!!
Liverpool Mara Zote Katika Miaka 15 iliyopita inapotimiza Points 17 ndani ya Michezo 8 basi hukamata Nafasi Ya Pili...
Lakini Arsenal inapotimiza Points 18 kwenye Michezo 8 basi Huishia Kugombania Nafasi ya 4...
Acha Kuifananisha Liverpool na vitu vya kijinga....
Maumivu yakizidi muone kigwangalaLIVERPOOL FOOTBALL CLUB remains the only ENGLISH FOOTBALL CLUB to beat BARCELONA "TWICE" at Nou Camp.
I can see itWe in the right direction to bring back the past days of glory
Ya'll watch out
Long live Jurgen Klopp....
Patamu hapooooThat is Why I'm Saying My Self If Bill Shankly Should be reborn again He must be Jurgen Klopp...

54 - Jürgen Klopp has an identical record to Brendan Rodgers in his opening 54 Premier League games as Liverpool boss (W26 D16 L12). Mirror.
Jamani kufungwa na hull city wakati huohuo kila mchezaji wa liverfools yupo nayo ni KOKORO. Hahahahahaha
Rush na banes walikuwa bado wabichi kabisa![]()
Liverpool celebrate their last last league title win on April 28 1990