Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijui Umeongelea Kimpira au umeongelea Kiushabiki!!!!!
Game ya United ya Anfield(raundi ya kwanza) ndio mlikutana na timu iliyopaki bus,kwa sasa timu yenu imechoka na Klopp ameishiwa tactics na ameshindwa kurudisha confidence ya wachezaji.Game ya Southampton wangeweza kuwafunga hata goli 4 kama wangemalizia zile nafasi na kipa wenu aliwaokoa
 
Duh we jamaa unanikera kwa comfidence ulionayo, hivi utamfunga chelsea kwa timu ipi? Subiri tuone, ila siku zote huwa nakuambia jaribu kueka akiba ya maneno japo mawili
 
Duh we jamaa unanikera kwa comfidence ulionayo, hivi utamfunga chelsea kwa timu ipi? Subiri tuone, ila siku zote huwa nakuambia jaribu kueka akiba ya maneno japo mawili
Huyo jamaa niliamua tu kumpotezea hiyo post yake lkn cha moto atakiona j4... Maana pamoja na yeye kufungwa hovyo tunakwenda kwake tukiwa na tahadhari kubwa maana tunawajua tabia zao vzr wana roho ya paka...
 
Just Wait And See.....!
 
U will never walk alone ! hii sentensi huwa inawafariji sana poleni majirani mpo katika kipindi kigumu .
 
We will be back stronger than ever
klopptism
klopposphere
kloppholic
kloppera
kloppomania
kloppeffects
klopphugs
kloppogram
kloppforkops
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
[HASHTAG]#GBNF[/HASHTAG]
#In klopp we trust..[emoji1]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…