SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Labda hao wengineo.Sasa hivi kila mtu anamuogopa CHELSEA...
Labda hao wengineo.Sasa hivi kila mtu anamuogopa CHELSEA...
Uwe unafuatilia soccer from credible sourcesSo saiv yuko kwenye unbeaten run mechi ya ngap?
Hizi ndo zile ndoto za alinacha....unalala unaota Dangote anakuamsha kuwa chai tayari!!!Mara ya mwisho Manure and Liverpool kudraw Home and Away was on 1987-1988 season... When Liverpool was Champions........,........,........
🙂 🙂 jamaa naona ana mahaba yaliyopitiliza na team yake duuh.Acha ujinga Real alikua na unbeaten run ya 39 games,juz tu sevilla ndo kamchafulia,....16!!!WTF
Sasa hivi kila mtu anamuogopa CHELSEA...
Tatizo UWEZO!
Hivi wewe ni nini hasa Kinachokupa Ujasiri Wa Kuongea Mbele Ya Mashabiki Wa Liverpool??
Labda Nikuulize Mara Ya Mwisho Wewe Kuifunga Liverpool ilikuwa Mwaka Gani?? Manake mimi Hata Sikumbuki tena.....