Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Acha kuongea kwa kujifuraisha wewe ..unampiga man city moja wakati uko nyumban!! Mimi nilimpiga tatu akiwa kwakee ...upoo!! Ivo ata Toti atakufa tu maake hamna namna sasa. ..

Ujiandae na wewe Costa mtoa roho yuko njiani kuja kwako.

Haina Haja Ya KukuQuote Wewe Tena Baada Ya Reply hii Kwani Umeonesha Wazi Kuwa NinamQuote Mtu Asiyejua Mpira...

Mpira Haupimwi Kwa Makisio Ya Timu Nyengine...
Huwezi Kusema Eti City nimeifunga Moja Uwanjani Kwangu Wakati wewe Umeifunga Tatu Uwanjani Kwake!!! Lol....

Kama Hichi Ndiyo Kipimo Cha Ubora, Mimi Arsenal Nimempiga 4 uwanjani Kwake na Kwenye Uwanja Huohuo Kakupiga wewe 3! Je, Huoni Kama Nawewe Away Game Za Top 4 zinakuzingua??

Mkuu Usitutie Aibu Kwenye Jukwaa Letu, Sisi Hapa Hutuendani Na Uchambuzi Uchwara Kama Huo....
 
Amen mkuu
 
Mkuu Usijipe FALSE HOPE, Uhakika Spurs Anakuzuia Japo Kwa Draw lakini Humfungi! Na iwapo Utamfunga Spurs Nakuahidi Kuwa Nitaziwekea Heshima Comments Zako Kwa Kujizuia KukuQuote Mpaka Tarehe 31 January...
Teh Teh Teh

J5 sio mbali mkuu.... Tulia usubiri uone.... Mimi hua nikiweka kambi ktk uzi wenu huu lazima mfe muulize Malafyale na Gwamahala na nguvu
 
Kipigoooo,hao wachumbaa.
Moyes kama namuona najicho lake la huruma lileee

Huyu Moyes Ni Man U Fanboy.. ni Scum Wa Kutupwa... Kwahiyo Akicheza Na Liverpool Hujifanya Kukamia Kwa Ajili Ya KumFavor Man U...
 
Not the best game in the world but a good win for Liverpool! I knew we would walk away with the 3 points!! And lol at Sterling. Milner didn't allow him to play at all! Congrats Reds! And Happy New Year! Next up: Sunderland.

Even Klavan Kept Kun Aguero inside his Pocket to stop him from making any serious threat to our Shot Stopper....
Another Failure for Pep under the feet of Klopp...
 
Unasahau vijiushindi vyenu vya 1-0 kibao msimu huu?
A win is a win
There's no ugly win
What matters is 3 points in the bank

Mmesahau vijiushindi vyenu vya 1-0 kibao dhidi ya timu nyingine msimu huu?
A win is a win
What matters is 3 point in the bank
Wee ukumbuki watoto wadogo kabisaa bonamauthii alikikalisha nne aisee ..yani unaongoza tatu alafu kizembe tu znarudi na bado unachomekwa lingine tena ukiwa apo apo kwakoo 😀 😀 😀 😀 😀 ndo ujue kuwa nan anacheza mpira wa kubahatisha.
 
Haina Haja Ya KukuQuote Wewe Tena Baada Ya Reply hii Kwani Umeonesha Wazi Kuwa NinamQuote Mtu Asiyejua Mpira...

Mpira Haupimwi Kwa Makisio Ya Timu Nyengine...
Huwezi Kusema Eti City nimeifunga Moja Uwanjani Kwangu Wakati wewe Umeifunga Tatu Uwanjani Kwake!!! Lol....

Kama Hichi Ndiyo Kipimo Cha Ubora, Mimi Arsenal Nimempiga 4 uwanjani Kwake na Kwenye Uwanja Huohuo Kakupiga wewe 3! Je, Huoni Kama Nawewe Away Game Za Top 4 zinakuzingua??

Mkuu Usitutie Aibu Kwenye Jukwaa Letu, Sisi Hapa Hutuendani Na Uchambuzi Uchwara Kama Huo....
Sasa mbna bonamauthi mim nmempiga tatu lakini kwako alikukula kichwa ...au ukumbuki na iyoo mkuu ...eniwei ksho sunderland atafanya yake kama bonamauthii tuu 😎 😎
 
Hebu Weka Matokea Yako Ya Mechi Zote Za December Tuone Kama Kushinda Goli Moja Ni Kurudi Nyuma Na Sio Kwenda Mbele...
Sizungumzii swala la kushinda goli ngapi nazungumzia aina au mpira ulioucheza jana wa kuchungulia km mjusi aliebanwa na mrango
 
Gemu Zetu 4 Za EPL January ni Hizi Hapa AAWW...
Lol! aliyeandaa Hii Fixtures Mungu Anamuona...

RATIBA JANUARY.jpg
 
Ntuzu bhana, hivi unakumbuka comment yako Jana ukiorodhesha wachezaji wa city kuwa wangetufunga? Basi huna tofauti na huyo anaesema mtafungwa na spurs
Well comment zangu za jana zilikua vzr tu nilisema sioni namna mtakavo wazuia hao city na ni kweli city alimiliki kila kitu nyie mna bahati ya kupata goli tu. Na bado nilisisitiza tusubiri tuone.
 
Well comment zangu za jana zilikua vzr tu nilisema sioni namna mtakavo wazuia hao city na ni kweli city alimiliki kila kitu nyie mna bahati ya kupata goli tu. Na bado nilisisitiza tusubiri tuone.
Tatizo lako liver unawachukulia poa sana wakati alikufunga, jaribu kumuheshimu aliyekufunga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom