Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nafikiri hii comment umeijibu kiushabiki sn lkn si kiuhalisia.



De bruyne, Sane, Silva na Sterling na Aguero hawa watu wakipangwa mtapata tabu sn maana sioni wachezaji wa kuweza kuwazuia hawa km wakiwa ktk form vzr kabisa

Hao Kina Aguero, Sterling, Silva na Yaya Toure Akiwa Katika Form Nzuri Last Season Wote Walikuwemo Ndani Ya City... Je Unaweza Kunijibu Ni Kiyama Gani Tulichowafanyia Nje Ndani??
Mkuu Hao Hao Ni Wachezaji Wa Kawaida tu Ambao Tushawazoea Kuwabandika Kila season..
 
#
Liver-Score.jpg
 
Hao Kina Aguero, Sterling, Silva na Yaya Toure Akiwa Katika Form Nzuri Last Season Wote Walikuwemo Ndani Ya City... Je Unaweza Kunijibu Ni Kiyama Gani Tulichowafanyia Nje Ndani??
Mkuu Hao Hao Ni Wachezaji Wa Kawaida tu Ambao Tushawazoea Kuwabandika Kila season..
Naona Unaonge kishabiki sn..... Sasa subiri muda ufike tuone mambo
 
Manchester City boss Pep Guardiola: This
is what we must do to beat Liverpool
PEP GUARDIOLA says Manchester City must
match Liverpool’s intensity if they are to end
their Anfield hoodoo.
Login
Write a comment
Pep Guardiola is hoping to end Man City's hodoo
against Liverpool at Anfield
Manchester City have beaten their rivals on their
own ground only once in the last 35 years – in
May 2003 – and Guardiola saw at first hand on
Boxing Day the strength of Jurgen Klopp’s title
chasers as they swept aside Stoke 4-1.
Tomorrow's game is one neither side can afford
to lose as they attempt to chase down leaders
Chelsea and Guardiola says he is well aware of
the threat posed by Klopp’s high pressing style
from their encounters in the Bundesliga when in
charge of Bayern Munich and Borussia
Dortmund.
Pep Guardiola said: “I don’t know what will
happen tomorrow but we have to equal their
intensity. Anfield will play a big role but what
happened in the past stays in the past.
Sergio Aguero will return against Liverpool after
serving his four-match ban
“I was lucky to play against Jurgen Klopp many
times in Germany and I think we know each
other quite well. I saw Liverpool this year many
times on television but it [Tuesday] was my day
off and I decided to see the game – and thank
you Liverpool for inviting me.”
"They are definitely title contenders. There are
six teams fighting for the title and for the first
four positions fighting for the Champions League.
It will be a good fight until the end of the
season."
Guardiola says Sergio Aguero is bristling to get
started again after a four-game suspension for
his reckless tackle on Chelsea's David Luiz
earlier this month.
John Stones will be fit to face Liverpool after
recovering from a knock against Hull
During his enforced absence, Guardiola allowed
the striker to return to his native Argentina to
see family and friends but despite his lack of
action he says he has looked sharp enough in
training to go straight back into the team
tomorrow.
He added: “He is ready. He came back good
from Argentina, finally back after foru games
banned – and seven in total this season. We are
happy he is back.”
Another boost for City is that John Stones – who
limped off against Hull on Boxing Day with a
knee injury - is fit to return against Liverpool .
But Leroy Sane is out along with long-term
absentees Ilkay Gundogan and Vincent Kompany.
 
Ni gemu zuri kutazama kwakuwa inakutanisha timu mbili zilizo kwenye top Four ya Epl.Mbali na hilo timu zote mbili zinapenda mpira wa kushambulia.Hii inadhihirishwa na magoli timu zimefunga.Liverpool wamefunga magoli mengi zaidi mpaka sasa,magoli 45 huku city wakifuatia kwa kuwa na magoli 39 sawa na Arsenal.

Kuta za timu zote mbili zinaruhusu magoli.Liverpool clean sheets ni 28% huku city wakiwa na 22%.Kati ya timu zilizo kwenye top six kwa sasa kwenye table City inaongoza kwa kuruhusu magoli mengi zaidi,21, huku liverpool wakifuatia kwa kuruhusu 20.Kwahiyo hizi ni timu mbili zilizoruhusu magoli zaidi kati ya timu sita za juu.Hii inachangiwa kwa kiasi kikubwa na staili ya uchezaji wa timu zote mbili kuwa ni wa kushambulia zaidi.So ni rahisi kufungwa magoli ya transition pale viungo wote wanapokuwa kwenye move kupeleka mashambulizi mbele na ghafla dispossession kutokea,mabeki wanakuwa exposed hapa.

Pia makocha Klopp na Guardiola wote ni wazuri wa kusoma mchezo na kuiadjust timu icheze kutokana na jinsi mpinzani wake anavyoonekana kuwa hatari.Sio makocha wa technic moja kama kocha wa manchester united ambaye plan A ikifeli basi plan B yake huwa ni kupiga teke chupa za maji na kuwakoromea waamuzi.

Kwahiyo tutegemee mchezo mzuri wa kufungia mwaka na timu ambayo itatumia nafasi za kufunga vizuri ndiyo itaibuka na ushindi.
 
Naona Unaonge kishabiki sn..... Sasa subiri muda ufike tuone mambo

Siongei Kiushabiki Bali Naongea Facts....
Haya Hapa ↓↓ Matokeo Yetu Ya Last 2 seasons baina Ya MCI vs LFC.... Hapo Hapana Hata Mechi Moja Ambayo Aguero Hakucheza, Je City Alichokifanya Ni Kipi?

Na Hao Watakaocheza Leo
DE BRUYNE, YAYA TOURE, SILVA, AGUERO na STERLING wote Walikuwemo Kwenye Timu Na Tuliwaadhibu, ajabu iwe leo tu???


2016-12-31_10.41.25.jpg



NOTE:
Hiyo 28 February, 2016 sio Premier League Bali Ni FINAL hiyo iliyochezwa WEMBLEY..
 
Siongei Kiushabiki Bali Naongea Facts....
Haya Hapa ↓↓ Matokeo Yetu Ya Last 2 seasons baina Ya MCI vs LFC.... Hapo Hapana Hata Mechi Moja Ambayo Aguero Hakucheza, Je City Alichokifanya Ni Kipi?

Na Hao Watakaocheza Leo
DE BRUYNE, YAYA TOURE, SILVA, AGUERO na STERLING wote Walikuwemo Kwenye Timu Na Tuliwaadhibu, ajabu iwe leo tu???


View attachment 452411


NOTE:
Hiyo 28 February, 2016 sio Premier League Bali Ni FINAL hiyo iliyochezwa WEMBLEY..
Hii city iko chini ya Guardiola sio hiyo mliyoiadhibu na ikaweka historia mbaya.

Tusubiri muda ufike tuone
 
Hii city iko chini ya Guardiola sio hiyo mliyoiadhibu na ikaweka historia mbaya.

Tusubiri muda ufike tuone

Yah! Don't Forget that Liverpool is Now Under Klopp...

City Have Made a Change From Eriksson, Mark Hughes, Roberto Mancini, Brian Kidd and Manuel Pellegrini to PEP GURDIOLA.....

Liverpool Have Made Change From Benitez, Hodgson, Dalglish and Rodgers to JÜRGEN KLOPP....

Kwahiyo Kuhusu Kocha Usiangalie Upande mmoja tu! Bali uangalie na Upande Wa Pili Wa Shilingi...
 
Liverpool's Jurgen Klopp wants to 'make the people happy' vs. Man City


"I know people are excited when they think about this game," Klopp said. "There is nothing to do except prepare the party for afterwards. This is a game everyone has to watch".

"The good news is we are involved. It's not City vs. someone else, it's Liverpool vs. Man City".

"We are always some kind of a challenger. We don't care about being favourite, it feels like we are challenging in each game and now we have to prove it".

"We have to make the people happy again. It's possible".
 
3498.jpg

Pep Guardiola and Jürgen Klopp resume their rivalry at Anfield, after several years battling for trophies as Bayern Munich and Borussia Dortmund managers.
 
Salama wakuu. Naona muda ndio umewadia. Tuombe tufunge mwaka vizuri. Timu ndio zinaingia uwanjani sasa....

YNWA
 
Liverpool team:
Mignolet, Clyne, Lovren, Klavan, Milner, Henderson, Wijnaldum, Can, Lallana, Mane, Firmino.

Substitutes:
Karius, Lucas, Moreno, Alexander-Arnold, Ejaria, Origi, Sturridge.


2016-12-31_20.33.39.jpg


Leo Klopp Kaamua Kuchezesha Viuongo Wengi Kuliko Washambuliaji Kwa Ajili Ya Kukabiliana Na Mfumo Wa City Wenye Viungo Wengi Kuliko Wakabaji...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom