Asante sana kwa utabiri wako uliotukukaHii city iko chini ya Guardiola sio hiyo mliyoiadhibu na ikaweka historia mbaya.
Tusubiri muda ufike tuone
Unachungulia kwa aibu maana bado upo online.Hii city iko chini ya Guardiola sio hiyo mliyoiadhibu na ikaweka historia mbaya.
Tusubiri muda ufike tuone
Naona Unaonge kishabiki sn..... Sasa subiri muda ufike tuone mambo
Hii city iko chini ya Guardiola sio hiyo mliyoiadhibu na ikaweka historia mbaya.
Tusubiri muda ufike tuone
Nafikiri hii comment umeijibu kiushabiki sn lkn si kiuhalisia.
De bruyne, Sane, Silva na Sterling na Aguero hawa watu wakipangwa mtapata tabu sn maana sioni wachezaji wa kuweza kuwazuia hawa km wakiwa ktk form vzr kabisa
Kuwazuia hao mbili kimo wa City mfanye sn kz maana wanatiririka hao na mpira yaani ni hatari sioni namna mtakavo wazuia
Hawa tutashinda ila shughuli IPO, Anfield tulishinda kwa mbinde sanaUshindi mgumu sana leo
Tumeoyesha kama tupo tayari,tumeiva
Sunderland sasa