Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Moyes nae sijui kaja kuangalia nini
Ni Mnazi Wa Man U huo Ndiyo Umekuja Kutuangalia Ni Jinsi Gani Katika Game yetu Na Yeye Anaweza Kutuzuia Kwa Ajili Ya Kumfavor Man U 😀😀.....
Na Hata Mark Hughes Ni Mnazi Mkubwa Wa Man U kwani Aliichezea Man U chini Ya Kocha SAF ndiyomaana Jana Alikuja Anfield Kutuharibia Lakini Wanaume Tukamchenjia...