Xplorer
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 607
- 857
nafikiri Unazi unamsumbua Mie natoa Unazi, Kante ni Very Good kwenye kuharibu kama kina Makelele na Mascherano kwa hilo namsifu sana ila kwa Best Sign labda alivyoenda Leicester, so kwa Chelsea anatakiwa stats awe zaidi ambayo Mane kuja LFC watu hawajategemea atafanya vizuri hivi sio kwa mashabiki wa LFC tu hata wa nje, Mane ni Top 5 za sign msimu huu, pia tutakuwa tunamuonea Kante kulinganisha na Mane yupo mbele yake hata kina Firminho sio haki wale wafungaji sio wazuiaji so tukija hivi tunatakiwa kufananisha na mtu style moja wa kwetu japo tunamponda sana Hendo ukitizama stats zake na Kante pengine zimegongana na hapo tunalalamika Hendo hachezi vizuri je akicheza vizuri?
Mkuu unaposema stats za Hendo na Kante inawezekana zikagongana ndio unakosea zaidi,kama Kante ameshindwa kumfikia Mane huyu Hendo ndio hampati kabisa,just angalia hapa wewe mwenyewe hizi stats according to watu wanaojua mpira.