Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Carrick, rooney, Valencia, young, bastian walishafanya tayari msimu uliopita kutupatia FA cup, labda tuangalie hao vijana wenu watawapatia nini msimu huu nyie.

Hata Kama Hatukuwin Chochote Msimu Huishia Bado Tutakubaliana Na Ukweli Kuwa Klopp Alikuta Magarasa Na Kaamua Kusajili Vijana ili atengeneze Timu itakayotumia Phylisophy Yake Yeye Mwenyewe Ni Si ile Aliyoikuta Kutoka kwa Watangulizi Wake...
Kwa Hiyo Klopp ananunua Vijana ili atengeze Future Team itakayokuwa very Competant.......

Cha ajabu Ni Mourinho Aliye Na wachizaji ambao Ni Above 32yrs old ikisha eti Anatengeneza Timu lol.... >32yrs Si wachezaji Wa Kutengeneza Timu, Bali Ni Wachezaji Wa Kuleta Trophy tu......
 
Ushaambiwa mou anakuja kutengeneza timu?
 
Hivi Hawa Yanga na Simba wana kichaa?
How comes nao hawaendi Muhimbili hospital Au any local hospitals for charity events to show that they give back to the local community?
Mkuu
Yanga wanagomea mechi za ligi sababu HAWAJALIPWA mishahara yao kwa miezi sasa
Team yenye matatizo hata ya mishahara tena mishahara mbuzi kabisa ina cha giving back to the community?
 
Draxler to LFC ilikuwa ni PR tu za Club yetu. Paul Joyce katumika tu na club kuleak hiyo habari. And am glad Club haimtumii tena James Pearce for PR..

Klopp anaihitaji Winger and kama akikosa mchezaji anayeona anafit kwenye system yake sidhani kama atasajili this january. Lets just hope atapata winger anayemuhitaji..
 
lol The Ev will try for Depay..

said it on here, the kid had a potential, but it was too early for him kwenda Utd, considering walikuwa kwenye Crisis, ilikuwa ni lazima imuwie vigumu kwanza kucheza kwenye team yenye crisis kila shabiki anakuona kama mwokozo wa kuja kutatua matatizo yao. Ni youngsters wachache sana wanaoweza kuihandle hiyo pressure..

Sad to see him going to The Ev lol, man's dream was to play at Real Madrid one day..guess its all over Aisee.

and kama lisingekuwepo suala la upinzani kati ya utd na LFC, nadhan Klopp angekuwa kishafanya inquires kwa Martial. The portuguese Tony Pulis is on the Mission to ruin another very good talent. Martial will be another De Bruyne, lucky for De Bruyne, Wolfsburg came in and save him. Who will save Martial?

That Nigga Lingard cant even make the bench for LFC u18s, and he's starting ahead of Martial. You could tell why they're competting for 6th spot.

The portuguese Tony Pulis ni role model wa Brendan Rodgers, unaweza ukaona kwanini Rodgers kaharibu career za youngsters kibao pale LFC..man almost ruined Bobby Firmino career.
 
Siku ambayo Rodgers alifukuzwa LFC ilikuwa ni BORA kuliko ile ya annoucement ya Jurgen Klopp.

siku ambayo itakuja ku-top tarehe ya Rodgers kufukuzwa itakuwa ni siku ambayo tutasign a Regista. Kwa maana ya kwamba Henderson will be dropped kwenye bench and stripped off unahodha.

anyone here is a fan of French league? Or Serie A (well not a fan of Serie A either, but nmetokea kuwa fan wa Napoli lately)

Napoli (serie A) and Nice (france) plays the best football in the world right now.

ukiziangalia hizi teams, utaona ni kiasi gani tulivyo na kiungo Useless kikiongozwa na Henderson.

well, they said Klopp is Magic, thats why we're 2nd in the league na midfield hii hii.
 
i guarantee you that, kama Klopp akisign a proper REGISTA in the middle, wa kucheza along side Can/Gini. We'll rule Europe again.

we're just lacking a good mid and a proper CB ili team kukamilika vizuri. Needs a Gundogan type of mid (Dahoud/Paredes (mentioning these two coz they're gettable) and a hummels type of CB (Van Djik/Murillo/Tah/Caio/Hernandez/Davinson/Sarr etc)

didnt mention Súle because he's off to Bayern, reported fee ni £18m i think. Bargain of the century..

Guardiola will be in the market for a new CB, been linked with Van Djik a lot, but can see them moving for Tah at this rate..

kimpembe is not a bad shout pia.

but Van Djik will be ideal. Man's a proper baller.
 
lol The Ev will try for Depay..

said on here, the kid had a potential, but it was too early for him kwenda Utd, considering walikuwa kwenye Crisis, ilikuwa ni lazima imuwie vigumu kwanza kucheza kwenye team yenye crisis kila shabiki anakuona kama mwokozo wa kuja kutatua matatizo yao. Ni youngsters wachache sana wanaoweza kuihandle hiyo pressure..

Sad to see him going to The Ev lol, man's dream was to play at Real Madrid one day..guess its all over Aisee.

and kama lisingekuwepo suala la upinzani kati ya utd na LFC, nadhan Klopp angekuwa kishafanya inquires kwa Martial. The portuguese Tony Pulis is on the Mission to ruin another very good talent. Martial will be another De Bruyne, lucky for De Bruyne, Wolfsburg came in and save him. Who will save Martial?

That Nigga Lingard cant even make the bench for LFC u18s, and he's starting ahead of Martial. You could tell why they're competting for 6th spot.

The portuguese Tony Pulis ni role model wa Brendan Rodgers, unaweza ukaona kwanini Rodgers kaharibu career za youngsters kibao pale LFC..man almost ruined Bobby Firmino career.
Mkuu nlikuwa nafikiria huyo "portuguese Tony Pulis" ni nani?

kumbe ni maurine....yule wa manyumbu anaefundisha mpira wa karne ya 17..lol!....

Mimi huwa nafurahi sanq na najiskia amani kweli napoona manyumbu united wanafanya hovyo.....wakifungwa nafarijika sana
 
Siku ambayo Rodgers alifukuzwa LFC ilikuwa ni BORA kuliko ile ya annoucement ya Jurgen Klopp.

siku ambayo itakuja ku-top tarehe ya Rodgers kufukuzwa itakuwa ni siku ambayo tutasign a Regista. Kwa maana ya kwamba Henderson will be dropped kwenye bench and stripped off unahodha.

anyone here is a fan of French league? Or Serie A (well not a fan of Serie A either, but nmetokea kuwa fan wa Napoli lately)

Napoli (serie A) and Nice (france) plays the best football in the world right now.

ukiziangalia hizi teams, utaona ni kiasi gani tulivyo na kiungo Useless kikiongozwa na Henderson.

well, they said Klopp is Magic, thats why we're 2nd in the league na midfield hii hii.
Hatujakuelewa ila naamini ipo siku tutakuelewa
 
Mkuu nlikuwa nafikiria huyo "portuguese Tony Pulis" ni nani?

kumbe ni maurine....yule wa manyumbu anaefundisha mpira wa karne ya 17..lol!....

Mimi huwa nafurahi sanq na najiskia amani kweli napoona manyumbu united wanafanya hovyo.....wakifungwa nafarijika sana

Mourinho anachomzidi Tony Pulis ni budget ya usajili.

hahahahahahahahahaha..
 
Just Like USA or CHINA; Do You Know That In EPL Man U is Now the Destination For Old Players?
Ibrahimovic.........35 Years
Carrick................35 Years
Schweisteiger......32 Years
Rooney................31 Years
Valencia...............31 Years
Young..................31 Years
That's Why Even their Stadium is Called OLD Trafford
Aisee hilo chama ni lawazee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom