Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Heeeeeh...!! kumbe na wewe ni timu KOPS...???
Sijui kama umeuliza kwa nia ya kutaka kujua ukweli ama umeuliza ili kunipa tusi la usiku....................Kwa kweli sijajua motive nyuma ya swali lako.

Labda utoe sababu za kuniuliza ili nijue namna ya kukujibu.
 
Everton walitumia nguvu nyingi sana kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili walikuwa hoi sana. Patnership ya lovren na klavan naielewa sanaaaaaa
 
Sijui kama umeuliza kwa nia ya kutaka kujua ukweli ama umeuliza ili kunipa tusi la usiku....................Kwa kweli sijajua motive nyuma ya swali lako.

Labda utoe sababu za kuniuliza ili nijue namna ya kukujibu.
Duuuh wewe mwanasiasa eti..???...Ok pamoja ...We will never walk alone..Soldier...
 
Duuuh wewe mwanasiasa eti..???...Ok pamoja ...We will never walk alone..Soldier...
Mkuu Liverpool siyo timu wala club bali ni culture.

Hakuna anayefanya maamuzi ya kushabikia Liverpool maana ni lazima kushabikia Liverpool.

Hata hawa haters, deep down ni die hard fans wa Liverpool ndo maana hawakauki kwenye huu uzi.

Kwa maana Liverpool ni utamaduni, nami nimeishi kwenye utamaduni huo tangu nikiwa mtoto mdogo kabisa.
Y.....................................N...............................................W........................................A
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom