Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Leo Baada Ya Kujikwaa Bila Ya Kuanguka Hope Next Game Kama Kawa Tunapiga Mtu 4..
sie hatujali kuhusu nani kaumia nani hatocheza team wanaochaguliwa Klopp anataka wafanye kweli sie tunamuombea apone tu ila kila player anajukumu from now hatuna muda wa sababu LFC! Mtu akija kipigo YNWA.Kuna uwezekano mkubwa Lallan akakosa mechi against Sunderland, Leeds & Bournemouth.
Inasemekana Gerrard mmepewa offer ya kui-coach MK Dons, jumatatu anaweza toa decision
Without Forgetting! today we have secured another Clean sheet...
Kuna uwezekano mkubwa Lallan akakosa mechi against Sunderland, Leeds & Bournemouth.