Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Countinho anaweza asicheze gemu ya kesho baada ya kuonekana jana akiwa hospital.hii gemu imekaa kimkosi mkosi tukishinda hii ubingwa ni wetu bila shaka.

Coutinho & lallana in doubt for the Saturday game
Nadhani haina uzito sana

dde570b13c736c7e98a69f1b87555def.jpg
 
Mkuu Usisikilize Rumours Za Mitandaoni, Mpaka Sasa Barcelona Hawajafanya Aproach Yoyote dhidi Ya Coutinho Wala Hawajalifikiria Hilo La Kumsajili Coutinho...
Wao Wenyewe Barca Kwasasahivi Wamekumbwa Na Ukata Wa Fedha Baada Ya Kuwasainisha Kina Neymar Mikataba Minono...
Sasahivi Wanahaha Kutokana Na Kushindwa Kumpa Mkataba Mpya Messi Kwa Kutokuwa Na Pesa Za Kutosha za Kumsainisha Mkata Wa £39M kwa Mwaka Baada Ya Kuwatilisha Mikataba Mikubwa Kama Hiyo Baadhi Ya Wachezaji na Hivyo Kufanya Bajeti Ya Timu Yote iende Kwenye Mishahara...

Sasa Barca Wanachokifikiria Ni Jinsi gani Watakuza Mapato Yao na si Kumnunua Coutinho ambaye Klopp Anaweza Kumuuza Kwa £80 to 75M, na hatamuuza Chini ya £70M...


Bali Klopp January Ni lazima Atasaini Kuzijaza Sehemu Tatu Za Timu ambazo ni:-

1) Winga/Striker Kucover Nafasi Ya Sadio Mane Atakapoenda Afcon..

2) Centre Central Midfielder/Defensive Midfielder (High percentage to be Mahmoud Dahoud).


3) Half Back Four: Ambaye Kwa Aslimia Kubwa Ni Jonathan Tah (Hii ni Kutokana na Criticisms inazozipata Defence Line Yetu Hasa Wale Central Defenders Ya Kuconcede Magoli Mengi Jambo Ambalo Linaonesha Kuwa Safu Ya Ulinzi Haijawa Strong! Kwahiyo Klopp Anaendelea Kutafuta Mtu Wa Kusimama Na Matip..)
Dahoud is a no go...at least for January

Sporting Director wao ashasema ther is zero chance ya Dahoud to move January and wanataka wamuongezee mkataba so maybe summer....

I think its better tutafute defensive mid mwingine talented, kuchukua players wakulazimisha hivi sometimes it doesn't end well
 
muda ndio unakaribia wadau,leo hiki kitimu wa kumkaba ni mmoja tu "Nathan Redmond" iwapo Milner ataweza kumtuliza huyu jamaa asipige cross hata moja basi ushindi ni wetu.
 
leo kuna uwezekano mkubwa tukacheza 4-3-3 huku Sturridge akicheza kama striker.sitashangaa pia iwapo dogo Ejaria akacheza namba ya Countinho badala ya Wijnaldum,kikosi bado ni kikali sana bila ya Lalana wala Countinho na kinaweza kikawa hivi....

Goalkeeper: Loris Karius

Defence: Nathaniel Clyne, Dejan Lovren, Joël Matip, James Milner

Midfield: Jordan Henderson, Emre Can, Georginio Wijnaldum

Attack: Sadio Mané, Daniel Sturridge, Roberto Firmino
 
Coutinho Ni Mzima Na Leo Yumo Ndani Ya Pitch Kama Kawa..


Screenshot_2016-11-19-17-04-36.png



leo kuna uwezekano mkubwa tukacheza 4-3-3 huku Sturridge akicheza kama striker.sitashangaa pia iwapo dogo Ejaria akacheza namba ya Countinho badala ya Wijnaldum,kikosi bado ni kikali sana bila ya Lalana wala Countinho na kinaweza kikawa hivi....

Goalkeeper: Loris Karius

Defence: Nathaniel Clyne, Dejan Lovren, Joël Matip, James Milner

Midfield: Jordan Henderson, Emre Can, Georginio Wijnaldum

Attack: Sadio Mané, Daniel Sturridge, Roberto Firmino
 
Gini na Can hapa katikati leo wanazingua,wanashindwa kupeleka mbele mipira faster...
 
Mpaka sasahivi Bado Sijauona Hule Mpira Wetu Wa Kasi! Naona Mpaka Sasahivi Ni Fujo tu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom