Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tusiwalaumu wachezaji mazingira tuliyocheza sio mazuri
YNWA
 
Ni wazi Kuwa Hizi International Zinatuulia Wachezaji Wetu! Timu Haikucheza Vizuri Hata Kidogo... By the Way! Tujipongeze Draw Haijawa Mbaya Sana...
 
tumekosa nafasi za wazi nyingi sana,hata hivyo mpira nao unahitaji bahati and today was not our lucky day.point moja sio mbaya na haswa ukizingatia tulikuwa ugenini tena tukitokea kwenye mechi za kimataifa.
 
Leo haikuwa siku yetu kabisa zile week ya nyuma ndani ya Nyavu hata 3 leo Firminho alipotea kabisaaaa nimechukia hii Draw ila ill take it YNWA!
 
Dah.... Leo timu imecheza hovyo, Coutinho nae sijui ndo uchovu..... Ila point 1 sio mbaya...!!!
 
Dah.... Leo timu imecheza hovyo, Coutinho nae sijui ndo uchovu..... Ila point 1 sio mbaya...!!!
Hatujacheza ovyo japo on target ni 2 ukitizama Southampton hawajatupa tabu, LFC nafasi zetu tu ambazo kawaida zinaishia kwenye nyavu hatukuzitumia uzuri Klopp alichelewesha Mabadiliko zaidi ya hapo ni Draw inayokubalika nilichopenda Klopp baada game kuisha kaja kuwapa Players moyo na wasijione wamefungwa kwamba fikiria next.
 
Tumecheza vizuri ila tatizo can na widn hawaachii mpira kwa haraka, square pass kibao, ila point moja si haba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom