Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hongera Mkuu lakini afadhali nyie mmetoka na ushindi, sisi pia tulistahili kushinda hii mechi ya leo ambayo wengi tulidhani ni uchochoro mwingine wa kujizolea 3 points lakini haikuwa hivyo kidogo watuadhiri wale jamaa.

Ndiyo mefika home
Toka Bar kuona soka maana kuangalizia home bia hainogi
Na hawa Panya road simu tunaiacha home siku hizi hasa kama usiku
Liverpool tunajipa taabu wenyewe,tunakosa bao nyingi sana
Hii game ilitakiwa iishe kipindi cha kwanza tu kw abao 4
 
Hapana aisee siogopi yeyote yule kama tunacheza kwa ari, nguvu na kasi na kuwa makini basi tuna uwezo wa kuifunga timu yeyote ile duniani achilia mbali EPL.

BAK kuwa mkweli
Bado huyaogopi majogoo?
 
Mane kifaa kweli, sijui kwanini Wenger hakumchangamkia huyu mapema. Miaka mingi yeye hutaka kusajili toka nje ya EPL tu. EPL pia kuna vifaa vingi tu.

Majogoo huwezi yafunga aisee
Mane Firminho na Coutihno?
No way
 
Mane kifaa kweli, sijui kwanini Wenger hakumchangamkia huyu mapema. Miaka mingi yeye hutaka kusajili toka nje ya EPL tu. EPL pia kuna vifaa vingi tu.
Ana kasi sana
Atatusaidia kwa mfumo wetu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Dahhh nilikuwa nimesahau kabisa kuna mechi hii !!!
dah hata mie Juve hapo bado inaendelea? kesho usisahau na yenu manake mnaanza mazoezi kwenye park ya magari then muweke Bus lenu vizuri maije kupewa ticket!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom