Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FSG kudadekiii
They bought LFC for around £300 million and today LFC is valued at £1.2 billion
I wish I had invested in FSG
 
lol! hahahahaha inawezekana, kwa sababu ni mara chache sana kumuona huyu live hapa jamvini.
Kaka yangu Yule namjua!! jiandae anakuja kukutisha na Majogoo yake jukwaani kwako na hivi Leo ndo umebaniwa utasikia BAK Hata wewe wayaogopa Majogoo....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
lol! Ndiyo zake hizo hahahahah ila mie kocha wao napenda kumuangalia reaction zake uwanjani. Ana midadi sana wakati mechi inaendelea ambayo nayo ni burudani ya aina yake. Halafu ananifurahisha kila mechi inapoisha hupenda kuwapa hugs wachezaji wake wote.

Yaani Klopp ni bonge la burudani sana awapo uwanjani ,wakishinda anaruka juu kama kandege,sema ni nzuri sana yuko karibu na wachezaj wake anawapa motisha ya kucheza na kuipenda timu yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom