Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

dah hata mie Juve hapo bado inaendelea? kesho usisahau na yenu manake mnaanza mazoezi kwenye park ya magari then muweke Bus lenu vizuri maije kupewa ticket!
Kesho siku ya Bwana [HASHTAG]#naiheshimusabato[/HASHTAG]
 
Ed n Edd nEddy nakumiss sikuoni tugonge cheers!!!
Najifunza kucheza hii style mpya naona Mane kaanza kuwafundisha wabrazil uafrika. Karibu kwenye jukwaa la furaha

1477163209363.jpg
 
Sturridge is available mkuu mchukueni
Sioni sababu ya our 150k kuuzwa maana
Origi yuko out of form
Ings sioni kama atarudishwa haraka kwenye timu
More over Mane January hatutakuwa naye ata-miss game 4+ ikiwemo ya ya Man u, so ni vema klopp akampa ST playing time ya kutosha ili aendane na mfumo tusije vuruga mbele ya safari
 
Sioni sababu ya our 150k kuuzwa maana
Origi yuko out of form
Ings sioni kama atarudishwa haraka kwenye timu
More over Mane January hatutakuwa naye ata-miss game 4+ ikiwemo ya ya Man u, so ni vema klopp akampa ST playing time ya kutosha ili aendane na mfumo tusije vuruga mbele ya safari

Uko sahihi
Ni vema kuwa na options nyingi
Ila Origi akipata more minutes Yuko vizuri
 
Tungekuwa tunaongoza ligi kwa sasa kama WBA wasingefunga lile goli moja.But all in all tumepata point tatu muhimu sana
 
Mane kifaa kweli, sijui kwanini Wenger hakumchangamkia huyu mapema. Miaka mingi yeye hutaka kusajili toka nje ya EPL tu. EPL pia kuna vifaa vingi tu.
Mkuu kuna mchezaji ambaye Wenger hajawahi kutamani kumsajili kweli?...SUAREZ, MESSI, POGBA, ZLATAN, DE MARIA. BENZEMA, TORRES,n.k wote hao walinusurika kuvalishwa nguo za Fly Emirates.Wenger siyo mtu mzuri.
 
Mkuu huyu alielewana sana na Suarez ilikuwa raha kuwaona wakifanya vitu vyao uwanjani. Nilishangaa jinsi L'pool walivyokubali kumuuza Suarez haraka kiasi kile. Tangu Suarez aondoke amebaki midabwada tu Mkuu.
Correction- LFC didn't let Suarez go by choice!!
He wanted to leave.

Huwezi kuwa na mchezaji ambae ameweka wazi kuwa he wants to move on
All you gotta do is to get the best deal and move on

Just a remainder- when Kevin Keegan left we got Ian Rush and Kenny Daglish

When Michael Owen left we got Fernando Torres

When Torres left we got Louis Suarez

When Suarez left Coutinho stepped up and Mane joined the force
Hiyo ndio LFC

YNWA
 
Asante ... na mimi nakuombea pia yakuendee vema.

ila kesho itendeke miujiza nije kushinda kwenu kidogo
Ahhhhh wapiiii , Najua mmenipangia sana maana week hii nimekuwa katoto kenye fujo sana,...... niliowakwaza mnisamehe, msijali sana wapendwa wangu mi nilikuwa nachangamsha jukwaa tu,kesho mje na makiss na mahug ya nguvu ya kunipongeza
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom