Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Kazi kwetu imeisha hivyo.... Tatizo hivi vitimu vinabana mno. Tukishinda itakuwa poa sana.Ni vema na hii ya arsenal ikaisha hivihivi
0-0 dk ya 73
Ni vema na hii ya arsenal ikaisha hivihivi
0-0 dk ya 73
Tunajiamini sana...sema Malafyale anajua hii gemu laini sana, kaamua aingalie kimya kimya aje atoe tathmini kamili ikiisha.Hajiamini anasubiri Full time...
Hawa leo tunawapiga za kutosha...Dk ya 35. 2-0 coutinho anaongeza goli..
YNWA
Upepo ndiyo huo upo upande wetu so far...Mkuu Leo Kwa Muhindi Kama Umebeti Usingechana Mkeka 😀😀😀😀😀
Spurs →Held
Arsenal →Held
Everton →Lose
Liverpool →we will win the Game
Uwezo wk umepungua sana hana kasi sasa hvSturridge leo kachukia mno you can tell the expression on his face