SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Hope wote tulikuwa weupeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,aiseee usuper star mmeuanza lini?
Aiseee yangu macho na masikio. ......... tuombe uzima
View attachment 419932
Nilijua Mapema Mimi Kuwa Mourinho Ni Lazima Atakuja Na Style Yake Hii..... Na Ndiyomaana Nimeumizwa Sana Na Draw Ya Leo Lakini Sishangai Kwanini Tumetoka Draw! Wakabaji 6 kwa Mshambuliaji Mmoja!!!!! Even Messi Asingeliweza Kuscore Gemu Ya Leo....
Hope wote tulikuwa weupeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,aiseee usuper star mmeuanza lini?
Lazima leo Mufurahi Coz Mechi Yenu inayofata Mungu Anajua Kitakachotokea! Sisi Hatukufurahi Leo, Lakini Tutafurahi Kwa Gemu Yenu inayifata Kwa Kile Kitakachowatokezea...
Sisi tunakwenda Kujililia Papai Kwa Kijiko WBA next game....
It's called 18th century football
Herrara wa the difference kwa man uKaumia, ila LFC wameniangusha sana sema zman U wamekuja na Game plan za Morinho ime work kati pale unavu na kurukia mipira juu wametuweza ila kengine nimpe pongezi Herrera kacheza vizuri leo Mane na Firminhohawakufurukuta. LFC hii Game naona kama tumepoteza Points 6 hivi na sio 2Points.
Man City,Watford,Feyenoord wamemfunga pamoja na ku-park hilo busJamaa wamespend £200m ili kuja tu kupark bus Anfield.
£200m just to play that horrible football.
Hongera sana kwa point 3 kama ulivyoahidiNakubali Mkuu! Katika Kumbu Kumbu Zangu Mou Alipohamia Inter tu Ndiyo Kaanza Kuchezesha Upuuzi Huu wa Bus-Parking Style... Na Kila Anapokutana Na Liverpool Basi Hutafuta Viungo Wakabaji Badala Ya Wachezeshaji na Washambuliaji! That is Why Leo Kamuanzisha Fellaini kwa Makusudi.... Sisi tulikuja Kushinda Gemu, Lakini Mou Kaja Kwa Lengo La Kujilinda tu Huku Akisahau Kuwa na Yeye Ushindi Unamuhusu...
Herrara wa the difference kwa man u
Can first half hakuwa vizuri
Sturridge had a bad game
Mane kipindi cha pili kasaidia kuongeza kasi mbele na kukaba tulipopoteza mpira
Mchukueni Kichuya atawafaaKwa Kweli Tunastahili Tusaini Striker Quality Ya D. Costa au K. Aguero Ambaye One Chance one Goal Kwa ajili Ya Timu Kama Hizi Bus-Parking Kama Tulivyokuwa na F. Torres Wakati Hule Hakukua na Bus-Parking Timu iliyotusumbua...
Kwa Sasa Hatuna Striker Ya Kuweza Kupenetrate Defence ambayo imepaki Bus...
Kwa Kweli Tunastahili Tusaini Striker Quality Ya D. Costa au K. Aguero Ambaye One Chance one Goal Kwa ajili Ya Timu Kama Hizi Bus-Parking Kama Tulivyokuwa na F. Torres Wakati Hule Hakukua na Bus-Parking Timu iliyotusumbua...
Kwa Sasa Hatuna Striker Ya Kuweza Kupenetrate Defence ambayo imepaki Bus...
Hongera sana kwa point 3 kama ulivyoahidi
Kabisa!Draw Ni sawa na kupoteza hii game
Mtani ng'ombe hazeeki Maini Mimi nawaona tu drama zenu kutwa kututabiria......... tutamchapa tu Rent boys ,Mimi Leo sishangiliii ila nimejikuta imenilazimu kushinda humu kwa jinsi hawa Reds wenzangu wanavyolia,nisaidie kuwanyamazisha......Mbona haujanialika kwenye sherehe ya kupata sare?[emoji23][emoji23][emoji23] naona next week Rent Boys haoooooo wanawasubiri nao wanapaki bus kama nyinyi tu,hili kabati la leo na la Stoke yanakua makabati mawili sio mchezo kama mafundi seremala [emoji23][emoji23][emoji23] Hongera mtani tena sanaaaa.....
Haya mkuu tukutane mwisho wa ligiKwa kiwango chenu toka ligi imeanza hata Arsenal wana nafuu
Leo LFC kutoa draw Ni sawa na Luxembourg kuibamiza USA
Yaani tumedhalilishwa kupita maelezo
Tumepoteza mechii hii kipuuzi sana