Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Halafu Sijawahi Kumuona Kocha Anaejiamini Kwenye Press Conference ya Pre-Match Kama JK aka Junior Bill Shankly! Jana Alisema Daraja Atalivunja Na Kafanikiwa Kulivunja
😀😀😀😀😀
 
Halafu Sijawahi Kumuona Kocha Anaejiamini Kwenye Press Conference ya Pre-Match Kama JK aka Junior Bill Shankly! Jana Alisema Daraja Atalivunja Na Kafanikiwa Kulivunja
😀😀😀😀😀
Anaijua kazi yake...that's why anajiamini!
 
Lile goal la Herndo thamani yake ni budget ya wizara ya afya TZ kwa mwaka mzima.....inaonekana mchizi alipiga menu mixture ya nyagi, kiyagra plus supu ya pweza wa kienyeji....hapo utategemea nini???
 
Lile goal la Herndo thamani yake ni budget ya wizara ya afya TZ kwa mwaka mzima.....inaonekana mchizi alipiga menu mixture ya nyagi, kiyagra plus supu ya pweza wa kienyeji....hapo utategemea nini???
Nategemea goal
 
Midfied trio inafanya kazi..nadhan ndo itakuwa hivyo msimu huu wote..though nahis kati ya Gini au Lallana, mmoja atampisha Emre Can.

Aisee umemuona Gini leo? No wonder Klopp paid £25m for him. Proper baller.
Dakika za mwisho naona miguu ya Gini ili jam.....choka mbaya.....klopp ikabidi amuingize sterwart faster
 
Chelsea ilikuwa ikiisumbua LFC wakat ule tupo kwenye crisis, nazungumzia Hodgson era, Dalglish era (ile ya 2011-12) na Rodgers era. Kuanzia 2009-2014..but prior to that hawakuwahi kutusumbua, and it seems ile dark era ishaisha. wanarudi kuwa watoto wadogo kwa LFC..manake wakat tupo kwenye crisis walikuwa wanajiona pia ni rivals wa LFC.

Liverpool's main rivals in England ni united, Everton na Arsenal.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom