MAJOGOO tunashinda leo
Msiwe na wasi wasi kocha tunae
Viva JK viva
From 4 -1 to 4-3 in a space of 15 minutesKidogo tunahitaji tuimarishe beki hasa ya kulia!!
Henderson ilitakiwa awe bench
Mbaya sana hiiFrom 4 -1 to 4-3 in a space of 15 minutes
Moreno ni tatizo sana kwa kweli!Ni wkt wa Hector kuja hata kwa bei wanayo itaka
YNWA
BABEK JOGOO LINAGONGA TU HALIJUI ASUBUHI WALA JION....YNWA 4EVER.YNWA