wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,357
Yeah of course dudeLOL, itabidi tufanye party humu, tukifanikisha deal ya Dahoud..tutakuwa tume-sort kila kitu kwenye Midfield yetu..KILA KITU yaani.
Yeah of course dudeLOL, itabidi tufanye party humu, tukifanikisha deal ya Dahoud..tutakuwa tume-sort kila kitu kwenye Midfield yetu..KILA KITU yaani.
hahahahaha, umenichekesha hapo kwa "we need more Germans"Mi naona bora hector....huyu jamaa ataimprove sana defence yetu...he is really solid kweny ukabaj na hata kweny setpieces..halaf kwend mbele he is better kuliko hata moreno. Plus he is german first choice lb...plus he is tall and strong...plus we need more germans![]()
Milner acheze winger huko hukoYeah, Sticks zote tunazompa Milner, but to be honest anatakiwa kubaki, and Klopp likes him sana..
Atatusaidia katika mambo mengi, sidhan kama Next season atakuwa anaanza kama Mid..
YEP YEPMilner acheze winger huko huko
Aher tuwe na wagermania tuh kuliko Waingereza Ni mizigo, hiyo ipo wazi kabisaYEP YEP
Plus hector he can play as midfilder goodly than Hendo, Milnerhahahahaha, umenichekesha hapo kwa "we need more Germans"
Yeah, Hector ndo priority nadhani, sema Chilwell ni £4m, so nadhan klopp anataka kuimarisha zaidi eneo la defense..nadhan itakuwa ni Chilwell na Hector..ila naona move ya Hector itafanyika baada ya Euros..
Huyu wa lorient mi namuona ni winger aliebadilishwa kua fb..kma ulivyosema kua ni moreno mpyaLol huyo ni Moreno 2.0
Mzuri katika kushambulia BUT he's shit kwenye kudefend..
Chilwell and Hector are BETTER.
Henderson aondoke tu Aisee.Hendo awe cb
Milner fullback
Hector is so good man, the reason why we're in for Chilwell aswell ni kwasababu kunaweza kukawa na ugumu sana wa kumpata Hector baada ya Euros..nadhan tunajaribu kucover options zote (chilwell and Hector)Plus hector he can play as midfilder goodly than Hendo, Milner
Pia Nmeona hector is statistically best left back in bundesliga kwa msim ulopita...amemzid ricardo rodriguez...alaba hakua lb mda wote
Mimi si shabiki wa liver ila sijawah iombea mabaya liver, labda icheze na timu yangu, katika wachezaji nisiowapenda liverpool nambari wani henderson.. Shabash, muingereza huyu kanipitia kushoto.Henderson aondoke tu Aisee.
Yeah, he's shit..Huyu wa lorient mi namuona ni winger aliebadilishwa kua fb..kma ulivyosema kua ni moreno mpya
Nimeona koln wamesajil new left back..huenda hector is coming...Hector is so good man, the reason why we're in for Chilwell aswell ni kwasababu kunaweza kukawa na ugumu sana wa kumpata Hector baada ya Euros..nadhan tunajaribu kucover options zote (chilwell and Hector)
hahahahahahahahahahaha.Mimi si shabiki wa liver ila sijawah iombea mabaya liver, labda icheze na timu yangu, katika wachezaji nisiowapenda liverpool nambari wani henderson.. Shabash, muingereza huyu kanipitia kushoto.
Hili jipu ni la kwenye kalio mkuuhahahahahahahahahahaha.
umenuchekesha sana mkuu makaveli10
Henderson ni moja kati ya mateso tunayoyapitia LFC fans..
Na ubaya zaidi ndiyo Captain wetu Aisee, hakuna team itakayofanya vizuri duniani ikiwa na Captain aina ya Henderson.
Yeah, wamesajili Left-back..Nimeona koln wamesajil new left back..huenda hector is coming...
hahahahahahahahahahahahahaHili jipu ni la kwenye kalio mkuu
Yeah, manake anatafuta viungo sahiv..Na atamuondoa tuu