Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahhahhahaha nimecheka mpka machozi......Hamna mtani mimi mwanamke bana Nina roho ya huruma....from the bottom of my heart niliwaonea sana huruma......[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23]

Ever mimi sina huruma kwakweli acha wapigwe tu..tena wangepigwa hata 10 nyambaff kabisa,
 

Pole ya nini dada yangu..unatakiwa uwape changamoto hawa wanafunzi
 
MalafyaleJF-Expert Member
Tunampiga huyo kwanzia 3+
Hamna team pale ya kumzuaia liver
#27734May 6, 2016

Lukub said: ↑

Game ya final nzuri maana timu zote zimekwisha poteza top four kwenye ligi zao so, mlango wa champions league upo Kwa bingwa




Wakati mna-comment mlifumba macho etii. . . .hamkujua nini kitatokea? Tunawaumbua sasa
 
Dah haya bwana Jana kwa raha nlizokuwa nazo nkasahau kushusha na neti hata mmbu sikuwasikia tena usingizi mtaam [emoji38] [emoji38] [emoji38] nahisi nao walienda kutengeneza bwawa la damu ya maini kwenye ligi yao BG up lfc

Mkuu 3 zinauma...vipi jana pia ulisahau kushusha net?
 







Ona sasa maneno mazito kweli kweli tukajua kweli mnabeba cupπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
In Klopp we believe. In Liverpool we trust. YNWA.
Hii fainali itatupa hamasa zaidi ya kufix errors hasa kwenye backline na midfield..
 
Hongeren majiran kocha wenu rodgers anenda celtics ya uskochi
 
LFC wasije ku sign Mario Gotze kunasababu ya jamaa kuwa bench chini ya pep bora wamvute Ben Arfa au ma Middle kata funua na mabeki. tuna watu kama yy wengi ukitizama Firminho, Coutinho na Lallana ss na Gotze style ni kulekule.
 

Asante mtani
 
Allan one of many young Reds who will depart on loan this summer, with Klopp only requiring a smaller squad next season.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…