Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Kubet ubet wewe uje kuilaumu timu yetuNimekasirika sana mikeka yangu hili timu lenu
Kubet ubet wewe uje kuilaumu timu yetuNimekasirika sana mikeka yangu hili timu lenu
me 2 nishaihesabu its over tuangalie ya usajili tu, leo Sturidge kapiga dk 90 nimesema akicheza 90 na villareal hachezeshwi ndio itakuwa hivyo navyomjua Sturidge atamtafuta Dalali wake aondoke timu. kwenye muda Muhimu yatatokea matatizo kibao hii week.Our season is over .... naihofia Alhamisi usiku sijui kwanini
Na ile statement aliyoitoa juzi ST hahahaa ngoja tu tusubirime 2 nishaihesabu its over tuangalie ya usajili tu, leo Sturidge kapiga dk 90 nimesema akicheza 90 na villareal hachezeshwi ndio itakuwa hivyo navyomjua Sturidge atamtafuta Dalali wake aondoke timu. kwenye muda Muhimu yatatokea matatizo kibao hii week.
Umekuwa na hofu tenaOur season is over .... naihofia Alhamisi usiku sijui kwanini

Acha tu morali ya leo ilikuwa very low kwenda kwenye game mnayotakiwa kushinda huku mmepoteza game kizembe kabisa ni hatariUmekuwa na hofu tena![]()
Just relax bro, ila mkaze sana aiseeAcha tu morali ya leo ilikuwa very low kwenda kwenye game mnayotakiwa kushinda huku mmepoteza game kizembe kabisa ni hatari
Thanks mkuuJust relax bro, ila mkaze sana aisee
Acha tu morali ya leo ilikuwa very low kwenda kwenye game mnayotakiwa kushinda huku mmepoteza game kizembe kabisa ni hatari

Traore 1 Cantona 0Wes Morgan 1 Steven Gerrard 0