The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Wacha tu....Hivi kwanini Kolo Toure anapenda sana kumrudishia kipa?
Maana napata hadi presha kila akirudisha.
YNWA
Wacha tu....Hivi kwanini Kolo Toure anapenda sana kumrudishia kipa?
Maana napata hadi presha kila akirudisha.
YNWA
Hapa tunahitaji mshambuliaji hapa mbele wa kusukumana na hizi beki za Villarreal na pamoja na kucheza hizi kros zinazopotea bure.
Tutajua nani anaotaUnaota ngoja mfundishwe mpira