IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,747
- 7,110
Sina imani na Martin skretel
Miaka 27 ni mingi sana but at least there is the justice in the end.Updates: Court imesema kuwa 96 people were UNLAWFULLY killed, fujo za supporters HAZIKUCHANGIA hata kidogo.
Yeah man..ni huge relief Aisee..Miaka 27 ni mingi sana but at least there is the justice in the end.
It's a good day for Liverpool,
A good day for football fans and a good day for their relatives
R.I.P
Sasa kwa hii ishu nani alaumiwe hadi kufikia hapa, ticket less fans Au Police ? Na vipi kuhusu final statement kutakua na hatua zozote zitakazo chukuliwa kwa watakaopatikana na hatia, au ishu ndio imeishia hapa?Yeah man..ni huge relief Aisee..
imechukua muda mrefu sana haki kupatikana, but at the end kila kitu kimewekwa wazi na ukweli umejulikana..
Finally, Victims wote watakuwa na Amani..
Ni police (south Yorkshire police)..walishindwa kuhandle hili suala baada ya fujo kutokea..uzembe wa police ndo ulisababisha maafa kuwa makubwa zaidi, soon baada ya kufungua gates tu mvurugano ndo ukaongezeka zaidi..it means walishindwa kuhandle mvutano ndani ya uwanja na kumake matters worse wakaamua kufungua gates ili watu wajiokoe wenyewe (you can imagine hali ilikuwaje)...picha halisi ni kwamba waliacha watu wajiue wenyewe,Sasa kwa hii ishu nani alaumiwe hadi kufikia hapa, ticket less fans Au Police ? Na vipi kuhusu final statement kutakua na hatua zozote zitakazo chukuliwa kwa watakaopatikana na hatia, au ishu ndio imeishia hapa?
Ah ah ahaaaa mkuu unataka ujue kama nao ni kama sisiIvi wadau injury update kwa Villarreal ikojeee
Embu acha masihara, si atakuja kustaafia kwenye bench hakiwa na majeruhi yakeInasemekana tume-make first formal offer kwa Barca centre-back Vermaelen
Hahaaaaaaaaa ....... end of the articleEmbu acha masihara, si atakuja kustaafia kwenye bench hakiwa na majeruhi yake
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Kuliko kuwa na vermaelen si bora wampe playing time illori tu mbona mzuri yule mrenoHahaaaaaaaaa ....... end of the article
" Liverpool could do worse than to sign Vermaelen, and a move back to the Premier League could reignite his caree"
Inasemekana tume-make first formal offer kwa Barca centre-back Vermaelen
Ngoja tuone kama hii saga kweliKuliko kuwa na vermaelen si bora wampe playing time illori tu mbona mzuri yule mreno
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app