Ila firmino anapoteza sana mipira kizembeHii sub itakua hakupanga klopp itakua coutinho ana tatizo...still angemuingiza sturridge akae na firmino na lallana
Suso ameuzwa kabisaumefika muda wa kumrudisha Suso na Markovich
hivi vijamaa mbona vinabana sana?