Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Klopp: "The only real reason for football is to entertain the crowd."
Hawa jamaa bila sisi wanaweza kuumwaAngalieni waliocho post kwenye forum ya Manchester United hahahahaha hawa jamaa hawana aibu kabisa
Angalieni waliocho post kwenye forum ya Manchester United hahahahaha hawa jamaa hawana aibu kabisa
Inaonekana hamjapenda ilivyo postiwa kule. Acha tu post humu sasa.Ohoooooo jamani wamekuja huku na picha kabisa shenziiii hahahaha
Unaota ngoja mfundishwe mpira1:3 my prediction