Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp aliamua kumchezesha kama false #9 kipind kile wakat DS yupo out injured na baada ya kuona Benteke haendani na mfumo wake, And kipind kile alikuwa bado hajaanza kumuamini Origi, alikuwa anampa dakika za mwisho..

but kwasasa itabidi Bobby aanze kuzoea kucheza eneo lake la zamani (Nyuma ya ST)..

tatizo lake ni kwamba huwa inamchukua muda sana kurudi kwenye form akitoka majeruhi..he needs to step up Aisee..
True kama period hii we need him more than ever...wote yeye na sturridge
 
Hii ishu ya Michael Owen kuwa ambassador imeendaje, bado ipo au washa disqualify him?
 
Hii ishu ya Michael Owen kuwa ambassador imeendaje, bado ipo au washa disqualify him?
ishapita hiyo kitambo...

hiyo ndo club yetu man...sema ndo hivyo vitu kama hivyo unaamua kuvi-ignore tu.

niliamua kui-ignore hiyo ishu...
 
ishapita hiyo kitambo...

hiyo ndo club yetu man...sema ndo hivyo vitu kama hivyo unaamua kuvi-ignore tu.

niliamua kui-ignore hiyo ishu...

I
Dah a disgrace...hahaha but I get u, mi hata nikiona Owen yupo kwenye panel anaongelea Liverpool stuff usually najisahaulisha alikuaga one of us, totally ignore him
 
Dah a disgrace...hahaha but I get u, mi hata nikiona Owen yupo kwenye panel anaongelea Liverpool stuff usually najisahaulisha alikuaga one of us, totally ignore him
Achana nae, haifai hata kumuongelea hapa...he'a just a clown..hana ishu.
 
aliumia kwenye ile game ya Dortmund (Anfield)..ni tatizo la ankle (kama la Origi, but kwake haikuwa serious sana)..

Game mbili zote za V'real atazikosa..


your team?? mak89
I think Klopp will have to go with this squad ili tupate matokeo mazuri ugenini na nyumbani.

Mignolet
Clyne kolo toure lovren moreno

Allen Lucas

Coutinho
Lallana sturridge milner

Kwa formation hapo juu tunaweza fanya nayo vizuri kwa game kama hizi za wa spain Allen atafanya vizuri hapa hakuna kutumia minguvu mingi
 
I think Klopp will have to go with this squad ili tupate matokeo mazuri ugenini na nyumbani.

Mignolet
Clyne kolo toure lovren moreno

Allen Lucas

Coutinho
Lallana sturridge milner

Kwa formation hapo juu tunaweza fanya nayo vizuri kwa game kama hizi za wa spain Allen atafanya vizuri hapa hakuna kutumia minguvu mingi
Spot on Aisee..

Great team..

We have to trust Kolo, Lovren na Migs, perfomance yao ndo itaamua game ya Alhamis...

Lucas angecover vizuri sana at the back..but tunamuhitaji sana pale katikati..

i think Klopp ataanza na hiyo team..

Concern yangu ni back-line yetu Aisee..
 
Spot on Aisee..

Great team..

We have to trust Kolo, Lovren na Migs, perfomance yao ndo itaamua game ya Alhamis...

Lucas angecover vizuri sana at the back..but tunamuhitaji sana pale katikati..

i think Klopp ataanza na hiyo team..

Concern yangu ni back-line yetu Aisee..
Unajua kwanini tuna muhitaji sana lucas kwenye midfield kwasababu Allen anakata upepo mapema atacheza vizuri 45 minutes ila the other 45 minutes atakuwa awful kwenye dk ya 60 unaweza mtoa Allen akaingia firmino, milner akashuka chini.

Kwa sub hiyo tutakuwa na number 10 watatu watakao cheza nyuma ya sturridge, we need them to be very mobile ili tuweze kuwa na matokeo mazuri

Sturridge has to track back, kilichokuwa na mpa Origi nafasi ya kuanza ni kurudi kukaba pale timu inapokuwa imepoteza mpira kwa sturridge ni very rare kurudi anacheza kifaza sana
 
Title za columns please eddy?


Heading hazionekani, but let me help Ed kuiweka sawa..


Hapo kuna majina ya keepers na team zao wanazochezea..

Then inayofata ni idadi ya mashuti waliyopigiwa golini (shots on goal), inayofata baada ya hapo ni idadi ya magoli walifungwa kulingana na mashuti waliyopigiwa golini (goal conceded), then ya mwisho ni wastani wa mashuti kwa kila goal (Average shots per goal)..


so kifupi hapo kuna:
1. shots on goal
2. Goal conceded
3. Average shots per goal..

Mignolet kapigiwa mashuti 98 golini na KURUHUSU magoal 39..tofauti na kina De Gea ambao wamepigiwa mashuti mengi lakin wameruhusu magoal machache kuliko Migs..

Migs kapigiwa mashuti machache lakini karuhusu goals nyingi.


Sorry Gody87 nimechelewa kuwa hewani but thank you MosDef ameweka sawa ...
 
and kolo at the back??

ningependa kuona Lucas anaanza nyuma na Lovren..Kolo na Lovren siyo partnership nzuri..

but, tunamuhitaji pia Lucas katikati pale..

ngoja tuone Klopp ana kipi kwenye mind yake..naexpect a very interesting team..
Kolo hakwepeki kuanza naona hata yeye anajipa promo kuwa yuko fiti na kwakua klopp anamuamini hakuna namna atakuwepo at the back
 
Liverpool FC are the first team to have gone 12 games unbeaten in a single #UEL campaign

0682e67c36de5c8ba72c55cd205e78be.jpg
 
Guys Kolo Toure aanze wakati Skirtel yupo fiti kabisa..
You must be kidding.
Hiyo imani yenu kwa Kolo Toure imetoka wapi wakati huwa anatuchomesha sana.

I expect Klopp kuwa na kikosi hiki;
Mignolet,Clyne,Moreno,Lovren,
Skirtel, Lucas,Milner,Allen,Sturidge,
Firminho and Coutinho.

Subs; Lalana,Ibe,Stewart,Toure etc
 
Guys Kolo Toure aanze wakati Skirtel yupo fiti kabisa..
You must be kidding.
Hiyo imani yenu kwa Kolo Toure imetoka wapi wakati huwa anatuchomesha sana.

I expect Klopp kuwa na kikosi hiki;
Mignolet,Clyne,Moreno,Lovren,
Skirtel, Lucas,Milner,Allen,Sturidge,
Firminho and Coutinho.

Subs; Lalana,Ibe,Stewart,Toure etc
Skrtel tangu auze timu gem ya southampton watu hawana imani nae tena.Na hiyo ilikuwa ni baada ya kupewa red card akiwa na timu ya U21 ambapo alikuwa anagain fitness.Sidhani kama Klop rate him kabisa kutokana na makosa mfululizo anayoyafanya.Na hizi mechi za mtoano ni very technical.One mistake one goal,si ulicheki 2nd leg na dortmund makosa yalivyozaa magoli?So to me better Kolo than Skrtel at this moment.
Kuhusu Stewart kukaa benchi isingekuwa fair kabisa.Kama angekuwa eligible angeanza kabisa ili Lukas acheze as CB sambamba na Lovren.Ubaya nikuwa haya mashindano hachezi na ndomana kuna kuumiza kichwa hapaSo hata benchini hawezi kuwemo
 
Kwa wale ambao wangependa kuifatilia ishu ya Hillsborough, LFCTV inafanya live coverage..na ni FREE kwa leo..


#JFT96
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom