Ings is two weeks away kurudi katika Full-training, Emre Can pia is highly likely kurudi kabla ya mwisho wa Msimu..
nimeona Firmino alivyocheza leo, Moyo umevunjika sana, kacheza hovyo sana, and at some point, he wasnt even arsed yaani..sasa sijui itakuwaje hiyo Alhamis..manake unategemea top players wako wawe kwenye good form ili kuifanya game iwe nyepesi..
hili suala la Sakho nalo ni balaa, manake statement ya UEFA inasema at this stage bado kutoa adhabu..so it means wanasubilia B sample, kitu ambacho ni lazima LFC watakifanya, hope results zitatoka baada ya game ya Alhamis..Sakho has to start hiyo Alhamis..ni muhimu sana..
V'rael are OK team, but i can see we're running OUT of players..game NYEPESI inaanza kuonekana NGUMU..
Kama Sakho wont make it, i'd start LUCAS at the back, but nani ataanza kwenye midfield THREE?? Allen, Millie, (?)..Klopp has Never played Coutinho kwenye 8, its so frasturating man..Sidhan kama Brannagan hii game itamfaa and Stewart isnt eligble kucheza Europa..its so frasturating man...Skrtel hatakiwi kabisa kuanza..LUCAS anacheza vizuri at the back kuliko Skrtel..but at the same time tunamuhitaji Lucas katikati..
And Form ya Bobby inaniumiza, coz ni mchezaji muhimu sana kwa sasa..Form yake ni muhimu sana kwa games kama hizi..
Tangu ile game ya Everton, simuoni Klopp akiwa na furaha kabisa..