Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wachezaji kama kina Bogdan wale, Klopp atakuwa anashangaa sana wamefikaje Liverpool..

nakumbuka kuna kipindi tulikuwa tunalia Migs apigwe bench adake Bogdan, bwana Bogdan akapewa nafasi ile game dhidi ya Watford, hahahaha, Tukapigwa 3-0..hahahahhahaha..
Hihihihihihiiihhhiihihihh,.alafu co kupigwa tatu tyuu 3-0,tulipigwa kipuuz puuzi na kitoto toto kwa ajili ya bogdan since there ana enjoy kuchoma mahindi tyuu...
 
Hihihihihihiiihhhiihihihh,.alafu co kupigwa tatu tyuu 3-0,tulipigwa kipuuz puuzi na kitoto toto kwa ajili ya bogdan since there ana enjoy kuchoma mahindi tyuu...
hata Migs anafaa kuwa chaguo la pili kipindi cha usajili Ter Stegen anafaa pale anfield.
 
We needed Origi to finish the season stronger both for top 4 challenge and his own confidence daah
 
kwa haraka haraka ndilo jibu,..ila ukiangalia mchango wake ni mkubwa sana as a striker...
hilo kweli lakini hamna jinsi kwa kuwa imeshatokea isipokuwa naomba awepo mech ya final ya europa league.
 
Ripoti ya uchunguzi ya mwanzo inasema Bahati nzr kua Origi hajavunjika mfupa wwte japo wanaendelea kujua kwa kina maumivu aliyopata
Good good news...pia nimesiki klopp kwenye mahojiano anasema alimuona origi akitembea, although hata yeye klopp alionekana ana hamu ya kujua hali yake...lets wait and see...we arw not saying Origi is everything but we need the best squad fit to finish the season with the momentum and the europa
 
ANYW nafeel fresh sana kuona na leo tumempiga mtu viva lfc
 
Hatumshuahi kwa wema na mazuri aliotufanyia tutampa point 3...kwani tukichukua hizo point tunaenda wapi kwa mfano lakini
Football ya uingereza haina huu uswahili wa kupeana point mkuu. Halafu hujui bado faida ya timu kumaliza kwenye higher positions EPL? Ukiacha record kuna mpunga mkubwa kuliko anayemaliza in a lower position. Lakini, vile vile huoni mbio iliyopo kati yetu na manure na west ham pale kny position ya 5? Zaidi ya hapo, we are only 6 points behind top four spot.
 
at least with this Newzzzz
Screenshot_2016-04-21-08-19-06.png
 
Liverpool line up,Aron Crisswell westham left back $ Callum wilson Bournemouth Striker for £35Million to all...

Source Goal.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom