Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Begovic sidhani kama Chelsea watamuachia maana Cou naona kama PSG wanamtaka summer hiiKuna makipa kibao EPL ambao watafanya vyema wakija Liverpool
Keeper kama Forster
Keeper kama Begovic
Keeper kama Scheim(ingawaje baba yake ni Man U)
Goetze ana mazungumzo zaidi na klopp huwa wanawasiliana Mara kwa mara ila lfc haijaonekana kuwa linked official tusubiri tu maana kila siku kuna kahabari kake anavyofeel ku-work na kloppGoetze ni kama deal done? Maana naona week hii we have been strongly linked nae sana
Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
Klopp kakataa jana kuwa hajui lolote kuhusu GotzeGoetze ana mazungumzo zaidi na klopp huwa wanawasiliana Mara kwa mara ila lfc haijaonekana kuwa linked official tusubiri tu maana kila siku kuna kahabari kake anavyofeel ku-work na klopp
Mkuu nadhani ulimaanisha Forster wa SOTON, sio foster wa westbrom....Begovic sidhani kama Chelsea watamuachia maana Cou naona kama PSG wanamtaka summer hii
Hapo juu I like foster
Stegan tatizo tulikuwa linked kitambo sana
Sure mkuu ni makosa tu ya kimaandishiMkuu nadhani ulimaanisha Forster wa SOTON, sio foster wa westbrom....
Vipi mnataka kumuuza Coutinho au Gotze anakuja kumrithi Benteke ?Goetze ana mazungumzo zaidi na klopp huwa wanawasiliana Mara kwa mara ila lfc haijaonekana kuwa linked official tusubiri tu maana kila siku kuna kahabari kake anavyofeel ku-work na klopp
even Adrian from West HamKuna makipa kibao EPL ambao watafanya vyema wakija Liverpool
Keeper kama Forster
Keeper kama Begovic
Keeper kama Scheim(ingawaje baba yake ni Man U)
Adrian should be number one target!even Adrian from West Ham
Subiri tu mkuu summer itafika uoneVipi mnataka kumuuza Coutinho au Gotze anakuja kumrithi Benteke ?
Gotze wants to jump on the running trainKlopp is looking for players interested in "pushing the train, not jumping on the running train.”
Kuwa mpole mkuu... timu yetu inakupa presha sanaGotze wants to jump on the running train
Bado haijawahi kunipa pressureKuwa mpole mkuu... timu yetu inakupa presha sana