Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Refa huyu anagawa kadi kama njugu. Kwenye mechi zake 10 za mwisho alizochezesha amegawa kadi za njano 63 na red card 6. Leo hapa naona kuna hatari atamlima mtu red. I hope haitaangukia kwetu
 
Refa huyu anagawa kadi kama njugu. Kwenye mechi zake 10 za mwisho alizochezesha amegawa kadi za njano 63 na red card 6. Leo hapa naona kuna hatari atamlima mtu red. I hope haitaangukia kwetu
Huyo mspain ni shida, rafu za spain kuwa awarded yellow ni tofauti na england
 
Najua nilisema siji mpaka msimu ujao uanze ILA leo imebidi nije kidogo Na kisafari cha kwenda kuwasalimia manure Leo tumetumbua Majipu tehtehteh Firminho AkA Flop katishaa. Leo Mignolet alikiwa Holiday Na Glass yake.
 
Mkuu MosDef, leo hakuwepo ndugu yako Milner the played well. Leo show ilikuwa inaendeshwa na watu wa3 wa mbele coutinho, lallana na firmino. Sturridge tofauti na goli na kukosa chances basi hakuonekana akitoa mchango wa maana kwa timu.

Mechi ya marudiano itatakuwa ni vizuri Origi aanze mbele ya sturridge dogo anaonyesha ile tamaa ya kuforce ushindi au kuwatia pressure opponents
 
Manure kumfunga Ni bora hata Kama kunasheria ukimfunga unashuka daraja tehteh ILA De Gea noma LFC tunahitaji kipa bahati yake Mignolet Leo alikuwa Holiday, Henderson zamani nilikuwa namtetea Sana ILA upeo WA akili ya killer pass Hana, anahitaji kujifunza Hendo anachemsha siamini kapewa man of the match Na BT sport.
 
Hongereni watani...leo mmetuweza...lakini angalieni vichwa visiwajae mkidhani kazi imeisha, oh!
Ni kweli hasa kwa mtu Kama hendo na mignolet ILA Leo nimefurahi tumewatumbua kwenu goli mwanzo muhimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom