Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Hongereni majirani ulikuwa usiku wenu.
Na sakho alicheza vizuri,Mkuu MosDef, leo hakuwepo ndugu yako Milner the played well. Leo show ilikuwa inaendeshwa na watu wa3 wa mbele coutinho, lallana na firmino. Sturridge tofauti na goli na kukosa chances basi hakuonekana akitoa mchango wa maana kwa timu.
Mechi ya marudiano itatakuwa ni vizuri Origi aanze mbele ya sturridge dogo anaonyesha ile tamaa ya kuforce ushindi au kuwatia pressure opponents
Mkuu MosDef, leo hakuwepo ndugu yako Milner the played well. Leo show ilikuwa inaendeshwa na watu wa3 wa mbele coutinho, lallana na firmino. Sturridge tofauti na goli na kukosa chances basi hakuonekana akitoa mchango wa maana kwa timu.
Mechi ya marudiano itatakuwa ni vizuri Origi aanze mbele ya sturridge dogo anaonyesha ile tamaa ya kuforce ushindi au kuwatia pressure opponents
Fainali na BVB itakuwa nzuri sana,lkn Liverpool ina UKUTA mzuri sana kwa sasa!!Tunaweza lichukua hili kombe
Vipi huko CL mnaendeleaje?Si vibaya kuota! Ila hizi ni ndoto nyevu halafu uko darasani... #amka
Vipi huko CL mnaendeleaje?
Wakat mwingine usijisifu unajua kukimbia bali msifu na anayekukimbiza NAMAANISHA unatakiwa ujiulize hao waliokuwa wanampigia mashuti ni type ya benteke SIO world class player hvo ni hak yake kuwa man of the match upande wa man uNimeangalia replay bila kuwa na pressure!De Gea aki enda Madrid kwa kweli itakua aibu kwa Man U
Kama sio De Gea hadi halftime ingekiwa 5-0
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHongereni watani...leo mmetuweza...lakini angalieni vichwa visiwajae mkidhani kazi imeisha, oh!
Nimefurahi tumewatumbua, kwenu sie Goli muhimu ndio nilimaanisha Hivyo sikutumia Koma! Yani tukija kwenu Goli muhimu game sio over.Kwetu? Chifu, ilikuwa Anfield...
hearing, he's going to City..Another rumours: Linked with a move away from Arsenal this summer, Liverpool are said to be interested in Alex Oxlade-Chamberlain.
Vipi huko CL mnaendeleaje?[/QUOTE unapata Zambi na hayo majibu tehtehteh sio ndoto wao wapo kwenye mawazo yasiyowezekana Bora hata Ndoto utaamka ukatimiza.
Ox no Kama Ibe tu Bora Walcott na maumivu yake kuliko Ox.hearing, he's going to City..