Saaaaaaaana
si uliona mwenyewe, alivyotoka, mpira ulivyobadilika..
Milner ana mbwembwe sana, kipindi kile kaja tu akaintroduce free-kick zake zile mbooovu, sahiv anaweza akapiga corners hata 80 isizae hata moja au anaweza akaanzisha short corners zile, akampasia Moreno, Moreno atamrudishia, Milner atajaribu kupiga chenga, akishindwa anaurudisha kwa hendo, hendo anaurudisha kwa Sakho, Sakho atapiga kwa Can, Can atamwachia hendo afu atakimbia mbele kutengeneza nafasi, Hendo hatopiga huko, atamrudishia Clyne akiwa na opponent attacker karibu yake, naye atamrudishia fasta hendo kuondoa presha, hendo ataangalia nyuma kina Lovren/sakho/Toure/Migs watamuelekeza apige mbele kufungua nafasi, atapiga mpira mreeeefu kwa coutinho, na utakuwa ni mpira wa kurushwa kuelekea lango la LFC, hapo utamuona kashika kiuno anajikufa Ni hybird ya Gerrard na Scholes..