Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nilikuwa nimekasirika why Dk 5 kumbe tuliandikiwa sie tehtehteh ingekuwa dk 90+3 ingekuwa story nyengine inauzi kuruhusu magoli ILA bora pia timu kupata Moto WA kufunga magoli Na kushinda Game tusidanganye 3-1 timu yoyote EPL Ni Game Over so Liverpoolfc baada 3-1 Klopp alivyokasirika Na timu ikaamka sababu imejijua Ni Aibu wanafanya.... Klopp kwenye Interview kaja bila Miwani ILA Klopp anasema haya yakufungwa kona Na Cross atayafanyia kazi sababu Ni Crazy Na Rubbish.
 
Kuna watu hapa walikuwa wanamponda Sterling na kumsifia Ibe ni mchezaji mzuri kuliko Rahim naona mambo yamebadilika
Mkuu mambo yanabadilika Ibe alikuwa anakuja vizuri over sterling ila siku hizi naona sifa zinamzidi anakua boya Fulani hivi
 
KOPITESSS
ImageUploadedByJamiiForums1453562170.951652.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1453562190.719794.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1453562208.481269.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1453562229.332037.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1453562244.043469.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1453562260.380287.jpg
 
Once a Red Always a Red..

yeah!!!, we won the match..though our defence was poor... 3 in da bag...

#YNWA#....
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA!!!!

HIS NAME IS ADAM LALLANA
HE PLAYS FOR LIVERPOOL
HE'S LIVERPOOL NUMBER 10
TRALALAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

ImageUploadedByJamiiForums1453562949.699614.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1453562967.867667.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1453563005.252227.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom