Ni kuijua tu Team unayoishabikia kiundani, LFC ni traditional team, ukiamua kuijua kiundani utaipenda zaidi, japokuwa itakuwa inakuumiza mara kwa mara..
ukitaka ubiased opinions kuhusu LFC muone legend
Pazi, ukitaka tactical analysis za ndani ya uwanja muone
mak89, ukitaka Picha na breaking news muone
Ed, ukitaka kujua ubora wa mchezaji mmoja mmoja wa LFC kiundani zaidi muone @Wembee, ukitaka kupata moyo wa kujiamini na uvumilivu zaidi kuhusu LFC muone
Malafyale, ukitaka mtu wa bantz, maneno mbofu mbofu kuhusu opponents fans na uchambuz wa LFC muone
Janjaweed, lol ukiona mtu anakuboa humu wa team nyingine na unataka aondoke fasta muone
The Magnificent, kama una binti unataka akaribishwe kiustraabu katika LFC family waone legends wetu
Asprin na
The Boss, Na ukiwa umemiss game na unataka kuifatila live kupitia JF, zione hizi Roho ngumu mbili
Plesis na
osokonoi, kama una rafiki mzungu, na anapenda kutembelea LFC family kwa suala la Kidhungu na uchambuzi mzuri wa kidhungu muone
Tisha-TOTO na
osokonoi, ataelewa vizuri tu, ukitaka vikolombwezo baada ya mechi muone
Buldoza, kuhusu mambo ya Commercial kuhusu LFC muone
reynold, ukitaka mambo ya History za hapa na pale muone
Tores, hahahah, ukitaka maneno ya kusumbulia kwenye vibanda umiza muone
nyangelekene, lol, kuna @Mnyakitari, huwa anaibuka team likiwa limepitiliza kum-boa siku hiyo, anamwaga hasira zake zote afu anapotea, waaaapo weeengi saana, hii ni Family..UNAPATA KILA KITU HAPA, KIILAAAAA KITU.
#LFCFAMILY.